Search results

  1. U

    Huu ni ugonjwa gani kwa kuku wakubwa?

    Namna gani dawa ya "Farma OTC 20% haiwezi kunipunguzia kidogo hilo Tatizo?Maana imeandikwa" for the treatment of fowl typhoid and fowl cholera "
  2. U

    Huu ni ugonjwa gani kwa kuku wakubwa?

    Nashukuru kwa ushauri!Nitaufanyia kazi!
  3. U

    Huu ni ugonjwa gani kwa kuku wakubwa?

    Nashukuru kwa ushauri,nitaufanyia kazi
  4. U

    Huu ni ugonjwa gani kwa kuku wakubwa?

    Kichwa cha habari chajieleza!Mwenye kuujua Ninaomba anijuze ni ugonjwa gani na unatibiwaje? Nimeshatumia dawa nyingi zote nikishauriwa na "wataalamu"!! Nina imani JF ni baba wa wataalamu! Karibuni mnishauri! Nimeambatanisha na picha.
  5. U

    Biashara ya kuuza pumba

    Hiyo ni point ya maana!!
  6. U

    Mnaotunza watoto wa ndugu nje ya ndoa, naomba ushauri

    Huyo dharau alianza muda mrefu!Hata kifo cha kaka,amechangia sana!Yaani kupitia matatizo ya kaka,sasa ninaamini kuwa wanaume kwa sasa wanaongoza kunyanyaswa kijinsia na wake zao!
  7. U

    Mnaotunza watoto wa ndugu nje ya ndoa, naomba ushauri

    Nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kazi
  8. U

    Mnaotunza watoto wa ndugu nje ya ndoa, naomba ushauri

    Nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kazi
  9. U

    Mnaotunza watoto wa ndugu nje ya ndoa, naomba ushauri

    Nashukuru kwa ushauri nitaufanyia kazi
  10. U

    Mnaotunza watoto wa ndugu nje ya ndoa, naomba ushauri

    Nimeshuku kitu hiki Ila dawa ya kumaliza tatizo hili ni nini?
  11. U

    Mnaotunza watoto wa ndugu nje ya ndoa, naomba ushauri

    Habari wanaJF! Nina mtoto wa miaka miwili na nusu ambaye analelewa na mama yake baada ya mkubwa wangu kufariki Ila pesa ya matumizi ninatoa Mimi kwa niaba ya marehemu. Mwanzoni tulienda vizuri lakini shemeji kabadilika ghafla. Leo hii kila pesa ninayompa ya kumtunza huyo mtoto anadai haitoshi...
  12. U

    Nawezaje kupata mbegu ya Azzolla jijini Mbeya?

    Naomba mwenye mbegu ya Azzolla tuwasiliane hasa kwa mlioko Iringa Au Mbeya nazihitaji sana.Picha yake ni hii chino👇👇
  13. U

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ushauri kwa ofisi ya Tanesco Manispaa ya MPANDA mkoani Katavi! Ni wiki sasa kumekuwa na tatizo mnaloliita la mtandao na hivyo kushindwa kutoa control numbers na hivyo kukwamisha zoezi zima la ulipiaji wa gharama za kuwekewa umeme n.k!!!Ushauri wangu kuliko kusumbua watu ambao wanatoka mbali...
  14. U

    Nasumbuliwa sana tumbo

    Naomba kuuliza mkuu wangu,hivi vitu ulivyonishauri natakiwa nitafute vyote na kuvitumia kwa wakati mmoja au naweza anza na kimoja nikatumia labda kwa mwezi mzima ndipo nianze na na aina nyingine?
  15. U

    Nasumbuliwa sana tumbo

    Maendeleo ni mazuri Ila kutokana na wingi wa dawa nilizotumia,sielewi ni ipi ilinisaidia sana!Sasa limebaki tatizo moja la tumbo kujaa gesi!
  16. U

    Nasumbuliwa sana tumbo

    Huyo alishanitibu lakini bado!Alichosaidia ni kuniwezesha kuwa na uwezo wa kula vyakula vingine nilivyokuwa ninashindwa awali!
  17. U

    Mwenye ujuzi kuhusu tatizo hili la e-mail naomba msaada!!!

    Kwa miezi sasa nimekuwa kila nikifungua e mail yangu nakutana na email za watu wakiniomba kazi wakiwa wameambatanisha na CV zao!Nadhani labda kuna watu wasiowaadilifu wametumia email address yangu kwenye matangazo yao ya kazi!Ninaomba mwenye ujuzi wa namna ya kufanya anijuze ili watu wasiendelee...
  18. U

    Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja Tsh. 30,000/-

    Siyo kweli Mimi sh.2700/-ninapewa units 22.2 za umeme
Back
Top Bottom