Mimi nilikua mpole sana kipindi cha primary tena nilikua mdogo ukilimganisha na wenzangu niliosoma nao kijijini enzi hizo.
Kuna wengine walikua wakubwa wananionea sasa mimi siwezi kupambana nao.
Hasira zangu ilikua navizia madaftari yao wakiacha darasani nayapiga nyembe tu. Hasira za kuonewa...
Asante kwa mrejesho. Kama ulivyosema usimuangushe kwa maana asije kujuta akashindwa kuwapa nafasi hata wenye uhitaji wengine.
Sent from my SM-G965U1 using JamiiForums mobile app
Wakuu salama?
Miezi 3 nyuma nimebadilisha simu na kununua simu mpya ya Samsung S9+.
Kawaida magrupu yangu yote huwa na yawake katika silent mode 'mute'. Ili kuepusha kusumbuliwa na muito wa meseji za Whatsapp kila wakati.
Ila kwa simu hii imeshindikana.
Zipo kwenye mute lakini bado zinakuja...
Pale Agakhan palikua na dokta mmoja anaitwa Zaher Akbar. Amenitibia mara nyingi nikapona. Ila kwa sasa naambiwa ameshaondoka nchini.
Pole sana mkuu. Hata mimi huwa nasumbuliwa na hili tatizo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.