Search results

  1. M

    Arusha Stadium kufurika 30/5/2015, Ni mkutano wa hadhara wa Lowassa

    Naombeni namba ya simu ya lowasa nina jambo la kumwambia au mtu wake wa karibu anipe mawasiliano yake hapa
  2. M

    Kilimo cha matikiti maji (watermelon): Ushauri na Masoko

    Farmer82 nimekutumia mawasiliano yangu inbox,naomba tuwasiliane rafiki
  3. M

    Ushauri: Nataka Kusoma LLB

    Jamani mliopo Law school au mliopitia pale mtupe updates kuhusu shule ya pale ilivyo,idadi ya kozi,muda na mkopo kwa wanafunzi wa shule ya sheria
  4. M

    The Law School of Tanzania - Maswali na majibu

    Ndugu zangu mliopita au mliopo kwenye uwanja wa mapambano(Law school) tujuzeni hali halisi ya pale..naanza kwa kuuliza maswali yafuatayo; 1.Ni kozi ngapi zinafundishwa 2.Utaratibu wa malipo ya ada na fedha ya kujikimu ukoje 3.Mafunzo haya ni ya muda gani darasani na field ni muda gani...
  5. M

    Nahitaji gari

    Sasa mbona hata PM haujibu? Nijibu kwa kunirushia specification za hiyo starlet including pics
  6. M

    Toyota vitz in very good condition for only 4.7 m

    Hujajibu swali tafadhali...lita 1/km ngapi
  7. M

    Toyota vitz in very good condition for only 4.7 m

    Vipi ulaji wa mafuta,inahimili masafa marefu kama km 1000 kwenda na kurudi llikizo
  8. M

    Nimeanza Kunywa mkojo leo kujitibu madonda ya Tumbo

    Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wako mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona! Nimeanza kunywa mkojo wangu leo nitatoa mrejesho baada ya dozi kuisha! Kwakweli nasumbuka mno. =====
  9. M

    Nimeanza Kunywa mkojo leo kujitibu madonda ya Tumbo-

    Nimetumia dawa nyingi sasa naona sina jinsi! Mzizi mkavu aliwahi kusema humu kwamba ukinywa mkojo wako mwenyewe mara mbili kwa siku kwa siku7 madonda yanapona! Nimeanza kunywa mkojo wangu leo nitatoa mrejesho baada ya dozi kuisha! Kwakweli nasumbuka mno
  10. M

    Nauza laptop na simu

    Sawa utauza
  11. M

    Biashara ya vifaa vya simu kutoka Dubai/China

    Hebu ni pm namba yako kama uko mwanza basi hili dili linanihusu pia
  12. M

    Ni lugha gani ya kimataifa ina soko

    Kisukuma kinakuja kasi sana
  13. M

    Nami niulizeni kuhusu MWESYA" Mtakasaji wa ukerewe

    Wazee wa mila walitoa data na nilijaribu kuongea na wajane 9 ni watu wazima sasa...ila kwa miaka ya hivi karibuni serikali na makanisa yamepiga marufuku mila hizi hata hivyo bado zinafanyika kwa kificho
  14. M

    Nami niulizeni kuhusu MWESYA" Mtakasaji wa ukerewe

    Utafiti ulijikita katika sehemu za Ngoma,bwisya,igalla,bukongo,bukanda,namirembe,nkilizya, na nduruma haya ndiyo maeneo niliyopita ...maambukizi ya ukimwi ni makubwa sana kulinganisha na sehemu nyingine mkoa wa mwanza
  15. M

    Nami niulizeni kuhusu MWESYA" Mtakasaji wa ukerewe

    Mimi ni mtafiti napenda kusoma na kujifunza! Nimeshawahi kufika ukerewe kujifunza haya..
  16. M

    Nami niulizeni kuhusu MWESYA" Mtakasaji wa ukerewe

    Nimeeleza utamaduni na mila za wakerewe waliopo kisiwani ukerewe katikati ya ziwa victoria! Sasa promo iko wapi mkuu? Mimi si mwesya wala si mkerewe ila najaribu kueleza tamaduni za wakerewe
Back
Top Bottom