Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan;
Bila kuwa na Usawa wa kisiasa na Demokrasia ya kweli kwenye Taifa letu,Juhudi unazozifanya kwasasa za kurejesha Diplomasia na Confidence ya Wafanyabiashara na wawekezaji itakuwa ni kazi bure kabisa.
Hakuna Mfanyabiashara/muwekezaji anayeweza kuweka mtaji wake...
Ndugu zangu habari za jioni.
Nimeona kwenye mitandao ya kijamii Mtu anayeitwa Andrew Saimon akiwa kwenye kikao cha Ndugu Bashiru Ally Katibu Mkuu wa CCM akijitangaza na kujipa Cheo cha Ukatibu wa Chadema jimbo la Kawe.
Naomba niseme, Kwenye ofisi za Chama Mkoa wa Kinondoni ambapo Jimbo la Kawe...
Napongeza jeshi la polisi Wilayani Mwanga kwa hatua hii ya awali ya Kumshikilia Askari police wa jeshi hilo anayesemekana kusababisha Kifo cha Kijana Waziri Dhahiri kwenye Kituo cha police kilichopo Kisangara kata ya Lembeni kilichotokea Tarehe 20/04/2019.
Naendelea kutoa wito kwa wadau wote wa...
Rudia Mpaka mwisho.... Haya ni Maoni yangu ama Mchango wangu kuhusu sakata hill...badala ya kujikita kwenye sheria tunapaswa kurudi kwenye Chanzo cha kuanzishwa vikoba na moja ya Chanzo ni Masharti ya Mabank ambayo hayatekelezeki kwa Mwananchi was Kawaida.
Badala ya kwenda mutunga sheria...
Serikali kuja kwenye Vicoba inakuja kuwafanya Wananchi kupatashida...Wananchi wanakimbilia kwenye vicoba kwakuwa ni sehemu rafiki. Mabank yetu siyo rafiki kabisa kwenye maswala ya ukopeshaji hususani kwa Wananchi wa Chini ambao kwenda Bank ni kero.
Bank kuna masharti yasiyotekelezeka kwa...
*Maneno ya Magufuli hayatoshi: Makonda ashughulikiwe.*
*Taarifa Kwa Umma*
Maneno ya Mhe Rais, John Pombe Magufuli, aliyoyatoa jana dhidi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar kuhusiana na sakata la Makontena, yamethibitisha angalau mambo manne muhimu:
1. Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda, amepoteza sifa...
Kama ilivyokuwa kwa kuota ndoto... Soma kwa makini kisha shirikisha ubongo wako Vizuri uone Tamko lina mashiko ama halina na siyo kuokoteza maneno ya vibanda umiza na kuleta Humu.
Sent using Jamii Forums mobile app
MAKONDA AKAMATWE
Taarifa Kwa Umma
Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Makonda ya kusema "atakaye nunua makontena yaliyopo Bandarini atalaanika pamoja na kizazi chake";
Ni kauli ya vitisho yenye nia ya kuzuia Serikali isipate na isikusanye mapato kutoka kwenye makontena hayo...
*MAKONDA AKAMATWE*
*Taarifa Kwa Umma*
Kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Paul Makonda ya kusema "atakaye nunua makontena yaliyopo Bandarini atalaanika pamoja na kizazi chake";
Ni kauli ya vitisho yenye nia ya kuzuia Serikali isipate na isikusanye mapato kutoka kwenye makontena hayo...
Kilichomuondoa Mugabe Madarakani ama Kinachowaondoa Marais wengi Madarakani Ambao ni Wakatili au kwa Lugha nyepesi Madikteta ni Kitu kinaitwa Deep State.... Madikteta wote ulimwenguni wanakuwa na kikundi hiki amabcho ni kikundi kitiifu kwenye Tawala za Kidikteta. Kikundi hicho Huishi kwakutii...
Kama Wanataka kuifungia JF waende kuifungia pia FB,IG na Twetter.... Pole Max hayo ndiyo mapambano ya kutafuta Uhuru na Demokrasia ya Kweli...Usiogope watakushikilia kwa muda ila kamwe hawawezi kuua mawazo yako...
Kwako Comrade G.Lema; Najua mapito unayopitia kwasasa, ni mapito makubwa sana yenye historia kubwa inayochochea hasira na kuamsha hisia Kali.
Nataka ujue na dunia ijue upo Mahabusu siyo kwasababu ya kubaka ama kuzini, upo kwasababu umekataa uonevu,umekataa kuishi ukiwa umepiga goti umekataa...
Mimi nilidhani Kamanda huyo angesema wanaanza na aliyetoa taarifa kwanini hawataji hawo watu waliyokwenda kumshawishi, ilikuwaje mpaka wakahisi anashawishika.... Ni kweli hakushawishika na dau au dau lilikuwa dogo au wamegeuka, Jeshi hilo lisiishie kwa hawo makamanda wa polisi, limchunguze na...
CCM ipo Madarakani kwasababu ya Dola na siyo vinginevyo, na hii ni hofu iliyojengwa makusudi kabisa kuwa upinzani ukikamata Mamlaka utakuja na utawala wake hivyo maafisa wengi wataondolewa, sumu hii imekuwa ikitafuna upinzani kwa muda mrefu sana.
ili kutoka kwenye kikwazo hicho lazima elimu ya...
Sikilizeni....... Taifa linahitaji Mfumo imara kusonga mbele siyo Kumjenga mtu kwasifa. Tunafanya mambo kishabiki na kufunga macho na kuziweka akili zetu mifukoni na kudhani tutakuwa Salama huko tuendako kumbe tunakwenda kujiweka sehemu hatari zaidi.
Mfumo mbovu uliyotengenezwa na Chama Tawala...
Wanaimbisha watu nyimbo bila kughairi maishairi....Wanafanya maigizo kwa waisyoelewa... Watu wale wale,Chama kile kile,Sera zile zile then utegemee kupata matokeo tofauti....
Kufikiri ya kwamba Serikali inayotokana na C.C.M Inaweza kubadilisha Taifa hili na kuwataifa lenye uchumi imara,Usawa nk, Ni sawa na kufikiri utaiona PEPO wakati jirani yako analala njaa huku wewe ukiwa unatupa chakula kwakuwa kimeoza.
Watumishi ndiyo wanasulubiwa kwa mfumo mbovu...
Mhe.Rais tokea utangazwe na NEC sasa yapata miezi kadhaa upo madarakani, Kwakuwa juzi juzi nimesikia kwenye vyombo vya Habari kuwa mshahara wako ni kiasi cha 9,500,000/= Kwa mwezi.
Ni vyema sasa Mhe.Rais ukauambia UMMA ya Kwamba kiasi hicho cha fedha kinachanganya marupurupu mengine ama kiasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.