Search results

  1. B

    Lazaro Nyalandu vs Khamis Kagasheki vs Government Policy

    Si dhani kama anaweza kusahau, maana hata yeye siku za karibuni alipata kuwa member wa Board hiyo; cha msingi ni kujua: 1. Hakuona ubadhilifu wa TANAPA wakati huo au ndio ule usemi wa "Rushwa hupofusha" unafanya kazi. 2. Amesema viongozi makao makuu TANAPA wamulikwe; yeye ni Naibu waziri...
  2. B

    Lazaro Nyalandu vs Khamis Kagasheki vs Government Policy

    Ni wakati sasa kila mmoja kuwajibika kwa "Udhaifu" wake. Kwa wenye kumbukumbu sahihi watakumbuka si miaka mingi Mhe. Nyalandu alikuwa mjumbe wa Bodi ya TANAPA. Siamini ubadhilifu katika shirika hili umeanza punde baaada ya sakata la Ahsante Tours, bali ubadhilifu ulikuwepo toka kipindi kile ndio...
  3. B

    Mboni M. Mgaza... Mboni Mhita Mgaza? DC - Mkinga

    Mboni M. Mgaza Dc wa Mkinga ndio Mboni Mhita?
  4. B

    Consumer

    Can any one assist, What is Consumer Index?
  5. B

    Kutoka Ikulu: Baraza la Mawaziri kutangazwa J'tano (kesho)

    Si tetesi tusubiri wakati utawadia yote yatakuwa wazi zaidi,ni kweli amepatiwa wizara hiyo.
  6. B

    Kutoka Ikulu: Baraza la Mawaziri kutangazwa J'tano (kesho)

    Baada ya kukataa kwa muda sasa kutokana na ushauri aliyokuwa anapewa na rafiki zake wakiongonzwa na Seleli aliyesafiri toka Dar kwenda Dodoma kumwambia Sitta asikubali kupewa uwaziri, sasa dhamana ameikubali na kupuuza maneno ya marafiki. Ndiye Waziri wa SHERIA NA KATIBA. Nakutakia kila la kheri...
  7. B

    Naomba jujua uhusiano wa Zakia na JK make mengi yanasemwa

    Mimi nadhani hakuna haja ya kujiuliza sana, nafasi kumi za kikatiba alizonazo mhe. rais ni za kumsaidia yeye pale anapodhani kuna umuhimu, kwa lugha nyepesi sidhani kama amemteua Meghji ili ampe uwaziri bali awe mshauri wake na pengine utashanga zaidi atakapomteua Mhe Kingunge. Waswahili...
  8. B

    Wabunge vijana wasiliangushe taifa

    Aaagh wapi, hawana lolote hasa huyu CATHERINE MAGIGE aliyetoa mwili wake kupata uongozi,inachefua sana. Si mwakilishi halisi wa vijana, amebaki kufanya ngono na Wazee tu hasa MARTIN REUBEN SHIGELLA,historia itamuhukumu Shigella kwani ameshiriki katika jambo la kuangamiza na kuharibu taifa letu...
  9. B

    Nimeukumbuka utabiri wa Mchungaji Joshua T.B

    Ndugu zangu wa Tanzania, the so called intellectuals, kwanini tunakubali kuendelea kudanganyw na watu kama huyu aliyeandika hapa,in the first place T.B Joshua alikana siku kadhaa kwenye magazeti yetu ya umma kwamba hahusiki na hili ,ila pia tujiulize ni kwanini Shehe Yahaya akitabiri tunakuwa...
  10. B

    Ole Sendeka akaribia kuzipiga kavu kavu na RC wa Manyara kwenye mkutano

    macho mbidiliko huyo lowasa alikufanyanyia nini???????sendeka hafai hata nusu sekunde na hana zuri lolote alilofanya,angekuwa na familia tungemuuliza mkewe labda,lakini hata mke hana huyo ana watoto tu!!!!na siku zote huficha hekima zake na kuonyesha upumbavu wake,na kusema kuwa huwa anawasaidia...
  11. B

    Shujaa Olesendeka Apokelewa Jimboni

    It is high time now we stop judging the book with its cover. Huyu mtu, Ole Sendeka, hata kwao hakubaliki, this is the fact, ambaye hakubaliani nami aende Simanjiro anatokea kata ya NABERERA, familia yao pamoja na yeye wameharibu eneo hili mpaka anaingia usiku sana na kuondoka alfajiri sana na...
  12. B

    Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

    Wahenga walisema, ficha UPUMBAVU wako onyesha HEKIMA yako. inasikitisha kuona jinsi wana JF wakichangia hoja kwa kuongozwa na chuki na ubinafsi wa hali ya juu,kila mtu ana jaribu kuonyesha mapungufu ya Millya na makosa yake kwasababu tu wanaamini EL yuko nyuma yake,sote tunasau yale aliyotendewa...
  13. B

    Ole Sendeka afutiwa mashitaka

    Ni wakati mwafaka kuchambua na kuchagua viongozi wetu kwa kuangalia historia, Kabla Millya hajapewa uenyekiti wa mkoa kupitia UVCCM alipaswa kuulizwa alifanya nini alipokua Rais wa jumuiya ya wanafunzi pale Tumaini mahali nilipofahamiana nae kwa kukaa nae darasa moja. Alipopewa tu madaraka...
  14. B

    Porokwa kupambana na Lowassa

    Ni vizuri wakati mwingine kukumbuka historia na kutambua nafasi za watu hasa kwenye uongozi wa kijamii na tusiishie kupiga kelele na kuwa wapayukaji kwenye jukwaa hili muhimu. Kwa watu wa Monduli na jamii ya wamasai Mhe Lowassa ni mtu wa muhimu kwao hata kama watanzania wote...
  15. B

    Ngurumo ya maalim Seif yafadhaisha wengi London

    Wahenga walisema "Ficha upumbavu wako, onyesha hekima yako", ndugu zetu walionnje ya nchi wamekua watu wa kwanza kuchochea kuvunjika kwa muungano wetu hasa wakati huu viongozi wetu wanaangalia njia nzuri ya kuendea umoja wa Africa. Pale wanapowachochea jamaa zetu wa Mchamba wima,kisiwandui...
  16. B

    Wanabadilisha "Title Deeds"! mchongo mwingine?

    Hili nalo linasikitisha yote ni ukimya wa MTANZANIA, mwaka haujaisha toka walipotuletea stickers za FIRE na mitungi kuuzwa 15000, sasa hili. Kwanini tunamnyanyasa MTANZANIA, tunaongeza mianya ya rushwa kila siku. Yote haya yanafanyika kuimarisha uchumi wa Nchi au wa Mtu.
  17. B

    Nagombea Moshi Vijijini kama mgombea binafsi

    Wana Jamvi nadhani ule umakini wa chama pamoja na wagombea wake utaanza kuonekana, viongozi wengi wa kuchaguliwa na wananchi kuanzia wenyeviti wa mitaa mpaka wabunge wamekuwa "irresponsible" na majukumu yao ili hali wakisubiri neema ya vyama vyao kuwateua tena kila baada ya miaka mitano...
  18. B

    Tanzania ni Nchi Nzuri Sana na Ina Watu "Wazuri!"

    13. Tanzania ni Nchi nzuri, hata asiyefanya kazi anataka aishi maisha ya juu akishindwa anatafuta pa kupeleka lawama zake bila kuangalia nini amekosea kwa maisha anayoishi.
Back
Top Bottom