Search results

  1. M

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mkuu kuna vijana2 lkn nitakuwa huko mara kwa mara
  2. M

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mkuu wng hongera na pole na majukumu ansante kwa kuwa kioo cha jamii hp jf Mimi nataka kulima vitunguu maeneo ya kilosa ila Cna mwenyeji km una taarifa zozote Za mashamba mazuri tujulishane nategemea kwenda jtano Pia ni Mara ya 1
  3. M

    Je unahitaji kufuga Kuku wa Mayai?

    Safi kabisa tupe no kabisa ubarikiwe
  4. M

    Mwongozo wa ufugaji wa kisasa wa Mbuzi wa nyama na maziwa

    Ucniache malila niko tayari mkuu
  5. M

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mr qualifier nataka kwenda kulima kilosa sema Cna mwenyeji mwenye naomba uniwezeshe nimpate mwenyeji Pia unipe no ya anaekodisha shamba nataka nifanye kweli
  6. M

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Wakuu wng naomba taarifa ya ardhi ya kilimo huko kilosa nataka nijitose mwaka huu ni sehemu gn,Pia wanakodisha kwa sh ngapi, Pia muda huu cjachelewa.?
  7. M

    Ardhi ya kilimo Tsh 5000 kila Ekari ya mbuga

    Wanajamvi wekeni wazi Hilo jambo ili tujumuike pamoja mbona mpaka Leo haijaeleweka km ni kukodi au kununua?5000?
  8. M

    Ardhi ya kilimo

    Naomba taarifa ya ardhi huko kibaha
  9. M

    Mashamba ya kukodi Ruvu

    Mkuu roky hukunitumia Ile no ya mwenye shamba la kukodi bado nasubiri
  10. M

    Natafuta Shamba

    Kk malila nami nahitaji eneo huko miono naomba msaada wko bei na usalama ni pm plz
  11. M

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Naomba mnisaidie juu ya ukulima wa vitunguu ni mwezi gn mzuri, Pia cjui process zake unaotesha au unasia km nyanya?
  12. M

    Mashamba ya kukodi Ruvu

    Naomba unitumie no nahitaji plz
  13. M

    Mashamba ya kukodi Ruvu

    Jamani mpenda maendeleo mwenzangu nami nahitaji shamba la kukodi tafadhali nitumie nami no ya mwenye shamba plz
  14. M

    Undani kuhusu tikiti maji

    Yaah nimeipenda hii biashara nimepata eneo ruvu maji yapo je naweza kulima mwezi ujao nitakutana na soko zuri?
  15. M

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mkuu umenigusa naomba uniambie nimepata shamba pwani karibu na kibaha militia bagamoyo nami ninapenda sn kilimo je naweza kulima vitunguu.? Maji yapo je ni hatua gn naanza kuchukua na uoteshaji wake unakuaje? Pia huchukua muda gn hadi kuvunwa? Naombeni msaada kwa Hilo
  16. M

    Benki gani yaweza kunipa huu mtaji?

    Jamani naomba ufafanuzi kwa wenye uzoefu na zitto kabwe foundation niliiona huku kwenye jf nikajaza fomu Yao ya kutaka mkopo sasa ninatakiwa nilipe tag 84000nipate mkopo ni kweli? Naomba mnishauri naogopa utapeli
  17. M

    Natafuta mwenye iPhone 3Gs tubadilishane na Nokia Lumia.

    Ooh my bro ninayo Iko powa sn km unahitaji niambie
Back
Top Bottom