Search results

  1. S

    Avatar ipi mnaipenda?

    Mwanakijiji! Ile ya zamani imekaa ki-SISIM. Hii mpya ni poa kabisa na tafadhali ISAJILI ili iwe official NEMBO.
  2. S

    Mtu Kwao

    Wana JF, Hapa ndiyo unaona jinsi Nyang'au wanavyojua kujitangaza ingawa hawana kitu cha kuonyesha. Si mmeona viTembo na vijiFisi uchwara kwenye ardhi kame na udongo mwekundu!!!? Hivi kwetu Bongo, hao wenye dhamana ya kutangaza maliasili na tamaduni zetu ni mpaka waende kwenye maonyesho na si...
  3. S

    Out of Touch: Madhara ya kusafiri mara kwa mara?

    Kwanza anashangaza sana. Yani Mkulu aliweza kuhairisha siku kadhaa kwenda KUHAFALIKA na PhD fake kwa ajili ya kuepusha ngumi ndani ya NEC, lakini kaondoka wakati Watanzania wasio na hatia wameuawa kule Musoma. Si shangai kwani hata Kilosa walipo pata janga la mafuriko, jamaa alikuwa ana Watch...
  4. S

    Zambia's M.Mobile to export abroad

    Sio National tu, kulikuwa na "PHILIPS NDIYO YENYEWE, SAUTI SAFI SAUTI KUBWA" kule Arusha. Inasikitisha jamani. Halafu unawaambia watu huko Uturuki eti mambo ni shwari! SHWARI??? Nadhani jamaa hana hata soni ya macho. Eti mwaka huu ni mwaka wa siasa. Mbona tangu amekwaa kiti hadi leo wanaimba...
  5. S

    Tunajifunza nini kwa CCM kutimiza miaka 33

    Heshima Mbele! Hakuna cha kujifunza zaidi ya ufisadi kama sio wizi. Nashangaa members humu ndani wanaosema CCM sio mbaya kama chama. Si chama kinajengwa na watu au wanachama? Nadhani hakuna chama kama hakuna wanachama (watu). Hivyo CCM ni wizi na unyama, hakuna zaidi ya hilo wanaJF. Angalia...
Back
Top Bottom