Search results

  1. MWANAZUONI-II

    Maji meupe ukeni

    Nakushauri umwone Daktari achukue clinical features za case hiyo halafu watapima maabara,pana magonjwa kama chlamydia infections yaweza kuwa na dalili kama hizo hizo,hata kwenye vipimo saa zingine yanaweza yasibainike,bali madaktari wabobezi kwenye magonjwa hayo huweza kuyatambua kwa dalili...
  2. MWANAZUONI-II

    Rais Kikwete akinunua samaki gengeni

    :angry::angry: HUO NI UTAPELI WA KIFIKRA TU KWA WANANCHI,ANATAKA KUJIFANYA PIA NI MZALENDO SANA NAYE ANAISHI MAISHA YA KAWAIDA ,ANANUNUA VITU MAGENGENI? WAO NAWAENDELEE NA MAISHA YA ANASA KWA AJILI YA KODI ZA WALALAHOI,HUKU WAKIPUUZA VIPAUMBELE VYA MSINGI KABISA KWA AJILI YA KUWAKWAMIA MASKINI...
  3. MWANAZUONI-II

    Kagame: Tanzania ni ndugu zetu na hakuna wa kuwatenga ndugu hawa!

    :cool2:Huo ndio ukweli,Watz hatuna shida na hao wandugu,shida labda za kwao binafsi kama marais.
  4. MWANAZUONI-II

    Shibuda: Hakuna cha CCM wala CHADEMA, wote wanaminya demokrasia ndani ya vyama vyao

    mzee Shibuda ni double dealer huyo,mzee wa kusoma upepo unaelekea wapi,wapi ulaji uko!naye anaibukia huko huko,so hana jipya,mjanja sana huyo dingi,lakini kwa ajili ya tumbo lake tu,not otherwise.
  5. MWANAZUONI-II

    Hofu yangu kwa wapinzani

    Suala sio kuwadhibiti kwa ubabe na jazba,spika affuate kanuni na sheria za kuendesha bunge,najua vinginevyo jumba hilo litamshinda makinda.ooooohooo.!yangu macho.
  6. MWANAZUONI-II

    natamani bunge la tz.....lingeendeshwa kingereza

    Great thinkers mwashangaa nini hao wabunge kushindwa kujieleza kiingera,ili hali wengi wao wanashahada feki,inakuwaje intellectual tena hata Mwenye PHD ashindwe kujieleza kiingereza,haiingii akilini kwangu mimi kama mwanazuoni.kiingereza ndio lugha itakayotumika huko kuiwakilisha nchi yetu,so...
  7. MWANAZUONI-II

    Elections 2010 CHADEMA yatoa tamko: Hatumtambui Kikwete kama rais

    KUMTAMBUA KIKWETE NA SERKALI YAKE NI KUISALITI NGUVU YA UMMA,SERKALI YAKE ITAKUWA YA HILA KAMA YEYE ALIVYOINGIA MADARAKANI KWA HILA,AKIJUA SASA ANAO WAKATI MFUPI KABISA YEYE MWENYEWE NA CCM YAKE KUFANYA DHULUMA KWA WATANZANIA.:israel:
  8. MWANAZUONI-II

    Kushikwa Ugoni: Ukimfumania mtu na mpenzi wako utamfanyia unyama huu?

    HUO UNYAMA HAUNA MAANA YOYOTE KWA MGONI WAKO,KWANI UNYAMA HUO KAMA NI KWA MINAJILI YA KUENDELEA KUISHI NA HUYO MAMA;KWA UFUPI TU UTAKUWA UMELAMBA DUME,LABDA UKUBALI KUUA WANAUME WAKWARE WOTE.SABABU MAMA HUYO ATAENDELEA KUOPOLEWA NA WENGINE TU.KUMBUKA TABIA YA MTU NI KAMA RANGI YA NGOZI...
  9. MWANAZUONI-II

    Rais wa Niger na Wabunge washikiliwa na Jeshi

    Lakini sio kwa makoloni ya francais alone,hii inaonekana kuwa ni kama kasumba fulani ya viongozi wa kiafrika kubadili kanuni za katiba ili wabaki kwenye ulaji.this is very bad.our leaders let us be the change that we want,and go with time.
  10. MWANAZUONI-II

    Style za waendao vyuoni

    jammaa utafiti wake ni wakizushi,namshauri:dont ever generalize the situation.
  11. MWANAZUONI-II

    waziri Mpenda ngono

    Huyo waziri ana mawikinesi kama most of us tulivyo,kuwa waziri hakumvui ubinadamu wake wa kawaida.By the way kila mmoja ana ulevi wake.No one is perfect leave alone God and angels.
Back
Top Bottom