Search results

  1. Japkas

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kodi inakatwa kwenye odds na ndio maana ziko chini kuliko kampuni nyingine. Jaribu kufuatilia
  2. Japkas

    Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

    Ingawa ni ngumu kaa kimya endelea na maisha yako huyo hakutaki. Huko mbeleni mtauana. Na bora hata hamjazaa.
  3. Japkas

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Huu uzi ufutwe tu
  4. Japkas

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Neno zuri ni "nauziwa kwa 20,000"
  5. Japkas

    BoT mulikeni huu wizi kwenye benki unaitwa "Processing fee"

    Yaani mtu kapoteza uhai una unasema zali? Hivi kumbe ukifa mkopo haulipwi? Ni kwa sheria ipi? Labda uwe umekufa ukiwa huna assets ?
  6. Japkas

    BoT mulikeni huu wizi kwenye benki unaitwa "Processing fee"

    Ukitaka riba ipungue shusha miaka ya kufanya marejesho iwe angalau miaka mitatu. Ila ni lazima uwe na vyanzo vingine vya mapato vinginevyo mambo yatakuwa magumu sana. Mkopo uko fair huo
  7. Japkas

    Rais wa klabu ya Yanga SC ameshawakana huku

    Madunduka ni mbumbumbu kabisa ndio maana timu imeuzwa pamoja na wao kwa kanjubai bila kujijua
  8. Japkas

    Maisha yangu nimeyaharibu mwenyewe

    Najaribu kufikiria shule iliyo chini ya safu ya milima ya Livingston ni Luteba Mwakaleli
  9. Japkas

    Tuambie huwa unatumia dawa gani ya meno?

    Watu wengi hawajui usafi wa kinywa unafanywaje. Wengi wanafikiri ni kusugua meno tu kwa dakika 2. Usafi wa kinywa si wa dakika mbili.
  10. Japkas

    Biblia haijamilika inahitaji msaada wa nje, haiwezi kujisimamia

    Sababu pekee inayofanya ndoa ivunjwe na mahakama ni kwa sababu ya uwepo hati ya kisheria ya Jamhuri. Cheti cha ndoa si mali ya kanisa au msikiti. Anayefungisha ndoa anatoa Cheti kwa niaba ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kubatilishwa hati hiyo itafanywa hukohuko.
  11. Japkas

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    @Jumong S Hii mada bado inaendelea? By the way Adam na Hawa walizaa watoto wengi wa kiume na wa kike. Basi ni wazi kuwa Kaini alipooa alimchukua dada yake maana ndio waliokuwa duniani.
  12. Japkas

    Nimepata kazi ya mkataba ila nilikuwa na uhitaji wa kazi ya kudumu

    Nenda kapige kazi mikataba ijayo itakufuata tu, kwanza CV yako itakuwa imeshiba.
  13. Japkas

    Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

    Ukapika data zinazokaribia na uhalisia. Walimu wa hizo shule wandundisha mbinu za kufaulu mitihani pia kuhakikisha unamaliza kwa muda muafaka kisha urejee kuokoteza marks kuitafuta A au B [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  14. Japkas

    Kwa waliomaliza form 4, kama una roho ndogo usiende kusoma special schools (shule za vipaji maalumu)

    Kupoteza sifa kivipi mkuu wakati sasa hivi zimeongeza ufaulu kuliko miaka hiyo. Fuatalia matokeo yaliyotoka leo halafu linganisha na enzi zako. Kuna 1.7 zaidi ya 40 kwenye shule moja hizi za Kibaha , Mzumbe na Ilboru wakati enzi zako idadi hiyo ilikuwa kwa Tanzania nzima. Hizo shule bado...
  15. Japkas

    Kuna shida Gani kwenye Operation za Uzazi? Hivi vifo ni mimi tu naona?

    Hapo mimi huwa siendi kichwakichwa. Wife akibeba mimba tu namkabidhi Doctor France mapema anamhudumia mpaka siku ya kujifungua. Internship Doctors ni balaa walishakosea kumchoma sindano ya usingizi ndugu yangu walizidisha wakati wa choma chomoa hakubaki salama tulizika
  16. Japkas

    Kuna shida Gani kwenye Operation za Uzazi? Hivi vifo ni mimi tu naona?

    Hawa wa sasa hawafaulu wanapitishwa tu kila mtu awe na cheti.
  17. Japkas

    Yanaitwa Majiji Ila Mwaka Unapita Ujenzi wa Magorofa Mapya Hayafiki 10. Mbeya & Tanga Mjitafakari, Mnazidiwa Hadi na Morogoro

    Kwani gholofa inatakiwa ziwe floor ngapi ndio zihesabike? Takwimu ya gholofa chini ya 10 umeitoa wapi? Na unataka yawe wapi ili yaonekane?
  18. Japkas

    Kwasasa UTRAFIKI uko juu halafu TRA na Bandari zinafuata.

    Wako sahihi kuziacha. Kuna mtu huko juu kasema habari ya wanaonusa na hii ndio thread nzuri ya kupata dondoo
Back
Top Bottom