Habari wakuu, rafiki yangu anauza hii WiFi Router kwa laki mbili (TZS 200,000) kwa yoyote atakayekuwa na nia wasiliana nami. Iko sim unlocked na ina admin web filtering na feature nyingine nyingi tu.
Habari wakuu, rafiki yangu anauza hii Desktop PC (CPU+Monitor+Keyboard+Mouse+Cables) kwa laki sita (TZS 600,000) kwa yoyote atakayekuwa na nia wasiliana nami. Ina Movies, Series na Software za kutosha.
Inaweza kuwa ngumu kwako lakini sio kwa wote kaka, its all about your business strategy. Mbona Zantel wanao yakwao, ila sio kwa commercials. Anyway mi nilichokuwa nahitaji sio kubishana kuwa kama inawezekana au haiwezekani.
Ninachohitaji ni kujua kama kuna kampuni inatoa hiyo service au la...
Kaka business has no limitation, ukiendelea na hiyo fikra utaishia kuajiriwa. siku zote think outside the box
Don't take kila kitu kwenye politics, Zanzibar pia wana uwezo wa kujitegemea kama wao
Asante mkuu, ninachojaribu kukimbia ni hicho kwamba sitaki ku connect kwa kutumia telephone line(ISP)
kama ukiangalia vizuri PC1 ina modem ambayo ndio yenye internet. Ingekuwa katika hali ya kawaida ninge active ICS (Internet Sharing Service) kisha isambaze moja kwa moja. Ila nimeelezwa ya...
Habari wakuu,
Nina router ya zamani ya ZTE ZXV10 W300 nataka iwe ina assign IP address (as DHCP Server) kwenye connected devices/PCs. Kisha PC1 igawe internet kwenye device/PC nyingine. Nafanya hivi sababu port ya internet ya router ni RJ11 na mimi natumia 3g modem. Nimeweka senario hapo chini...
Wote wana fursa za kujiajiri, inaegemea tu na capital uliyokuwa nayo.
1. Kama wewe ni IT na una capital ya kutosha unaweza kufungua biashara kisha ukajiri programmer na ukawa una wa supervise.
2. Kama capital yako ni ndogo, unaweza wewe kama programmer ukaingia msituni ukafungua biashara...
Nia na madhumuni ilikuwa hivyo ila router yangu ni ya zamani na port yake ya internet ni RJ11 na mimi source yangu ni RJ45.
Nilijaribu kutumia converter RJ45 to RJ11 lakini imefeli
Habari wakuu, kuna hii network plan nataka kuitumia nyumbani ila nahitaji msaada wenu jinsi ya kufanya configurations
Vifaa nilivyonavyo
Router: zxv10 w300 (old router with RJ11 internet port)
Switch
Desktop PC with server 2012 (yenye network card mbili, DNS Server na Active director)
Laptop...
Asante Kang nimekusoma. Ila mimi hapa ishu inayo nisumbua kichwa ni kwamba inawezekana ukawa na DNS & DHCP server in public network halafu Active Directory kwenye Private network?
Habari wakuu,
Kwanza nifanye declaration kuwa mimi sina utaalamu sana kwenye mambo ya networking. Ninafungua ka ofisi kadogo ila nimetengeneza rough diagram lakini naomba ushauri kama ni kitu kinachowezekana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.