Search results

  1. BIGURUBE

    Mwanafunzi anadhalilishwa na vyombo vya habari Serikali na Wanaharakati mko kimya

    Miaka 18 ni mtoto? Umeona ile video yake akiwa faragha mambo anayofanya? Yule amekubuhu kuliko wale wa uwanja wa fisi.
  2. BIGURUBE

    Gazeti la Tanzania Yetu linauzwa

    Mnauza kipeperushi cha ccm Nani atanunua? Halina wasomaji zaidi ya 30 Kwa siku!
  3. BIGURUBE

    Ukitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa

    Niliwahi kutumia umeme kwenye majiko ya hotelini Kwangu, gharama ilikuwa Karibu Mara Mbili kulinganisha na gas. Umeme ni too costly.
  4. BIGURUBE

    Hatukusaini Mkataba wa Bandari peke yake; iko mikataba 36 ambayo hatujawekwa wazi?

    Moja ya makubaliano itakuwa ni ya kuuza wanyama pori hai Km tulivoona madege ya jeshi la Emirates yanapishana mbugani
  5. BIGURUBE

    Kutukuza ndoa za mitala ni kuvunja katiba ya nchi na kuendekeza mfumo dume

    Km unaamini katika dini yyt utagundua kuwa mitala ni asili ya kiumbe yyt wa kiume, wanaume tumeumbwa kuwa na mahusiano na mke zaidi ya mmoja, iwe ni mke rasmi au la ni mchepuko. Nyie Wanawake mnaodai haki sawa Ndio mnaishia kuzalishwa bila ndoa.
  6. BIGURUBE

    Naombeni msaada, nimetapeliwa

    Facebook [emoji855]
  7. BIGURUBE

    Nilienda ukweni wakidhani sijui lugha yao wakaanza kuniteta, nikaamua kumuacha binti yao

    Hata ingekuwa mm nisingekubali binti yangu aolewe na kabila lako Maana ni wavivu, ni omba omba Kwa asili yenu, m1 akifanikiwa kidogo tu ukoo Mzima unahamia kwake.
  8. BIGURUBE

    Maneno ya kwenye daladala

    Shemeji
  9. BIGURUBE

    Mnaopenda kumwagiwa ndani. Fikirieni hili

    Unataka kujaribu kumwagiwa?
  10. BIGURUBE

    Haya maneno yamenichoma sana na kujiona sina thamani katika hii Dunia

    Kosa lako kubwa ni kutomla, unamuacha demu na nyege za nn? Mm demu nikimtongoza asubuhi Jioni namaliza kazi Maisha mengine yanaendelea
  11. BIGURUBE

    Rais Museveni na watu wa Uganda waungwe mkono, asema Mufti Mkuu wa Oman

    Huu msimamo Natamani ungekuwa ni wa kiongozi wa Tanzania [emoji1241]
  12. BIGURUBE

    Nimetoka Rwanda leo, kweli nimeamini Tanzania hamna wanawake

    Uzi wa 2014 watu Bado wana reply Leo! Jamaa mpaka alishazeeka
  13. BIGURUBE

    Kwanini Dubai magari ni bei rahisi kushinda kwingine?

    Kununua gari used Dubai Au Singapore ni kutupa pesa yako, gari zao jamaa zimepambwa sana Kwa nje, zipo Poa sana lakini ndani ni Vimeo. The only country to buy used cars ni japan ambalo serikali inatia mkono wake kusimamia ubora, inspection inafanywa Kwa kuzingatia vigezo vyote Mhimu.
  14. BIGURUBE

    Maisha yangu Uswahilini Uwanja wa Fisi/Manzese kwa miaka 20

    Nilikuwa kuingia Lambo Motel Manzese enzi kabla haijafungiwa, dah palikuwa na vitoto mpaka vya 12yrs vinajiuza
  15. BIGURUBE

    Anayejua michezo ya Bolt kuongeza bei aniambie

    Baadhi ya bolt drivers ni wahuni sana. Niliwahi kukodi gari toka Mliman City kuja home maeneo ya Bahari beach, nauli ilionesha ni 14000. Nafika home bill inakuja 22,000. I was so confused, nikamlipa dereva akasepa. Kuja kuangalia email inaonesha nimetoka Airport, tukapitia Darajani kigamboni...
  16. BIGURUBE

    Dhuluma na wizi viwanda vya Mabati Dar, TBS oneni haya

    TBS moja wa idara zinazoongoza kwa rushwa! Usiombee uingie kwny anga zao.
  17. BIGURUBE

    Morogoro: Dereva bodaboda auawa, atobolewa macho

    Baadhi ya binadam wa roho ngumu sana, unaua mtu kisa pikipiki ya chini 2 million? Stupid!
  18. BIGURUBE

    Benki zipi wanakubali dhamana ya hati ya nyumba kwa ajili ya mkopo?

    Nyumba peke yake haifanyi upate mkopo, ni lazima uwe na cash flow ya kueleweka
Back
Top Bottom