Search results

  1. MWEEN

    Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

    Peak itafikiwa with or without lockdown, testing, etc etc Tatizo ni ukubwa wa madhara ya ugonjwa baada ya pandemic kupita.
  2. MWEEN

    Uteuzi wa Dr na Prof umethibitisha hawakuwa wa muhimu kwenye taasisi za elimu

    Hi, We let class 7 teach a class 7, NOBODY complained. The result was death of English and Maths in our schools. We turned a blind eye to recommended class sizes (45, 35, 25 for Primary, Secondary and High schools respectively), NOBODY complained. The result is secondary students who can not...
  3. MWEEN

    Waandishi wa habari wa Tanzania hawajui kuuliza maswali

    Ukweli ni kwamba Wengi wao wana upeo mfupi sana wa kufikiri. Utapata shida sana kupata angalau "B" kwenye vyeti vyao vya masomo. Wanajiunga na fani hiyo kwa kutafuta umaarufu wa kuonekana au kusikika. Hawasomi, wanasubiri matukio. Wanavimbishwa vichwa na comments za wajinga wengi na...
  4. MWEEN

    Ardhi na Maji zaondolewa TAMISEMI na kupelekwa Wizara za kisekta

    Dear all, I really congratulate the President for seeing this anomaly. Most local governments lacks the capacity to manage some sectors that are important in the service sector and development. Competent technical staff under the local government have been subjected to harassment and...
  5. MWEEN

    How govt plans to police the internet

    Mkuu, "Regulated cafe" zitapungua na "Unregulated cafe" zitafumuka. Price at black markets zitakuwa juu ili ku-cover costs za kuhonga regulators na law enforcement officers. Soma debates za ku-legalise narcotics na pro & cons za hiyo move. Research has shown that the DEMAND will determine...
  6. MWEEN

    Mkutano BAKWATA: PM Majaliwa awaomba viongozi wa dini kupigania amani

    Hao sio waswahili mkuu. Huyo ni nzi. Yes the common housefly. Muangalie vizuri anapotulia mahali. Ananawa miguu yake ya mbele halafu anarudia kwa miguu ya nyuma. "Kama wewe wajua hivi vya mbele, na hivi vya nyuma je???"
  7. MWEEN

    Taasisi ya huduma za uwekezaji ya Moody's yaipa Tanzania tathmini hasi ya kiuchumi

    Hawa jamaa hawanaga chenga. Hata Marekani wakiboronga wanashushwa daraja! Last year walitolewa from Credit rating ya "AAA" mpaka "AA"!!!! Anyway, mizania inaonyesha "Uncertainty" kwenye policy and governance ndio kitu kizito kinachoathiri rating yetu. Wataalamu walishasema haya na pia...
  8. MWEEN

    Jeshi la Polisi lina Matatizo matatu(3); Yanapelekea Tatizo moja Kubwa!

    Nafikiri MM umechambua vyema hoja hii ila hujaitendea haki maada kwa kutohusisha historia ya "jeshi" la polisi toka wakati wa ukoloni. Miongoni mwa sababu kubwa za matatizo uliyoyaeleza ni kuwa hatujalijenga "jeshi" hili ili kufuta madhumuni yake ya kumlinda mkoloni na mbinu za mafunzo za...
  9. MWEEN

    Jeshi la Polisi lina Matatizo matatu(3); Yanapelekea Tatizo moja Kubwa!

    Nafikiri MM umechambua vyema hoja hii ila hujaitendea haki maada kwa kutohusisha historia ya "jeshi" la polisi toka wakati wa ukoloni. Miongoni mwa sababu kubwa za matatizo uliyoyaeleza ni kuwa hatujalijenga "jeshi" hili ili kufuta madhumuni yake ya kumlinda mkoloni na mbinu za mafunzo za...
  10. MWEEN

    Kamari: Janga lingine lililofumbiwa macho

    Ndugu zangu Watanzania, Miezi ya hivi karibuni kumetokea wimbi kubwa la michezo ya Kamari (betting, gambling) ambayo nafikiri imekwenda mbali Zaidi na itaathiri maadili ya nchi yetu. Nijuavyo mimi, Kamari inalevya (has addiction) kama pombe na madawa ya kulevya nk. Hii ndiyo sababu wakati wa...
  11. MWEEN

    Kuporomoka kwa thamani ya Shilingi: Serikali ya Rais Magufuli inatupeleka wapi?

    This is the BoT rates now. Your figures are not applicable here in Tanzania. Foreign Exchange rates for 3/Nov/2017 Unit Buying Selling USD: 222,552.48 224,778.00 Euro: 259,384.91 262,001.24 GBP: 292,255.91...
  12. MWEEN

    Can we learn something from Senator Jeff Flake's speech?

    Dear colleagues, I started this thread with a Swahili title "Je, tunajifunza nini kwenye hotuba hii ya Senator Jeff Flake???". I thought it would benefit a wider JF community that invariably the majority visit the political forum. Someone with authority within JF thought otherwise and dumped it...
  13. MWEEN

    Can we learn something from Senator Jeff Flake's speech?

    Mr. President, I rise today to address a matter that has been much on my mind, at a moment when it seems that our democracy is more defined by our discord and our dysfunction than it is by our values and our principles. Let me begin by noting a somewhat obvious point that these offices that we...
  14. MWEEN

    Huu Ukakamavu Wa Sirro Mmeuona?

    There is a cure for ignorance but NONE for stupidity. Yes, US, UK, France have killed terrorists but its their armies that do it. They are trained to kill. Police are/ought to be protectors not killers. Police kill in defense and explained how it happens. In other countries, Police complaints...
  15. MWEEN

    Huu Ukakamavu Wa Sirro Mmeuona?

    Dear comrades, While many of us are very positive of the achievements of our Police "FORCE", I am rather skeptical of the trend to "militarise" the police, Prisons, Immigration and fire services in this country. To me, there should only be ONE "force" which is the JWTZ. The others should be Law...
  16. MWEEN

    Sakata la Makanikia: ACACIA watoa data nyingine kuchallenge matokeo ya kamati za Raisi

    Wapendwa, Niliandika mapema wakati sakata hili linaanza baada ya wataalamu wetu kuja na matokeo yao. Mimi sina wasiwasi kwa kuwa kiwango cha madini ni suala la kisayansi na hilo linaweza kuthibitika ukweli ukafahamika. Makinikia kwenye containers sio udongo ghafi toka ardhini. Hivyo wanatakiwa...
  17. MWEEN

    Kwa teuzi hizi hatukupi ushirikiano ng'o na usahau kuombewa, tushakuchoka!

    This is the product of Tanzania's education system that the President is trying vehemently to correct! Magufuli.. you have work to do! Inawezekana na wewe utadai una shahada ya Chuo Kikuu unasubiri ajira. Anza kujitambua kuwa una cheti cha shahada huna elimu ya shahada.
  18. MWEEN

    ACACIA: Kutokana na tofauti kubwa, kunapaswa kuwe na ukaguzi huru juu ya kiasi cha madini kilichopo

    Fellow Tanzanians, I am really not worried at all by this saga because the issue here is more scientific than political. And science is provable. Since the containers are still at the port, and the goods are the same, the solution will be found. Truth and fallacy can be separated. To me, three...
  19. MWEEN

    Kwanini serikali inaogopa wachuguzi wa kimataifa kama hawausiki? Hofu ya nini?

    Nafikiri kama unavihusisha vyombo vya kimataifa usiishie kwenye suala la Ben peke yake. Kuna matukio ya mauaji ambayo vyombo vyetu vya usalama havijaleta majibu ikiwa ni pamoja na mauaji ya Soweto-Arusha, Morogoro, Alphonce Mawazo, mauaji ya albino ambayo hayajatatuliwa, nk nk. Orodha iwe...
  20. MWEEN

    Gazeti maarufu duniani, Washington Post, laichambua Tanzania

    I am sorry but that was a different era. Currently, it pays to be phylosophically pragmatic, especially when your economy is vulnerable to external influence. What will cost you if you do not homosexuality openly? It is immoral, we all agree, but standing out to openly persecute gays and...
Back
Top Bottom