Search results

  1. S

    Jinsi ya ku fast track divorce papers

    Ukitaka haraka inabidi umtumie mwanasheria, ila na pesa lazima zikutoke zaidi ya milioni 2.
  2. S

    Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

    Mie nilienda huko kwenye blog yake, nikamwambia ukweli wala sikumsifia na matusi yake. Aliupata ukweli hadi kaamua kuniblock kwenye blog yake. Nikitumia laptop sipati blog, ila kwa simu naipata. Huyo Mange na Linda wote machizi, wanawake gani hawa kutwa kutukanana hadi wanatusi na vizazi...
  3. S

    Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

    Kajisema mwenyewe amelia, na atalia sana kama kweli huyo viola kafa. Hicho kifo atakuwa kasababisha yeye mange. Nilijua tu mwisho utakuwa mbaya.
  4. S

    Mrembo bilionea Zari awatesa watoto wa Mange Kimambi

    Huyo Mange naye ubongo wake haupo sawa, ana tatizo la akili. Naye ni baboon tu. Mtu mwenye akili timamu hawezi gombana na watu kila siku. Huyo Linda kila siku anamtukana matusi hayo hayo hakuna jipya. Hawa wanawake mie naona wote vichaa kwa kugombana kwenye mtandao.
  5. S

    huu ni unyama na wala sio wivu, duh tutawaogopa

    Yaani mwandiko wa jinsi hii utamjua tu aliyeandika division 5. Wanakera ni vifupisho vyao.
  6. S

    Kwa nini wanaume wengi wanachukizwa na uvaaji nusu uchi kwa wanawake?

    Kwa hiyo mama yako na dada zako wote ni hasara. Mtu mzima ovyoo kabisa wewe.
  7. S

    Mwanamke usiende kwa mume mpya na mtoto uliyezaa kabla

    Let say nina mtoto na kipato cha maana, unataka mwanangu nimpeleke wapi? Kama hutaki mwanangu bora tusioane.
  8. S

    Mwanamke aliye tayari kuzaa anatakiwa

    Hii kali, ila kuna mdada ana mtoto mmoja naye anataka mtoto mwingine. Kama utakubali mtoto akae na mama yake sema nikuunganishe.
  9. S

    Tanzanian priest arrested in child prostitution sting in the United States

    Ukiona mwanandoa anachepuka ujue hakunwi vizuri na mwenzi wake na ndoa imekuwa ndoano. Mapadri wanatakiwa kuoa, binadamu uliyekamilika tendo la ndoa ni kati ya mahitaji muhimu ya binadamu. Unataka kuniambia mtu mzima kama huyo miaka 49 atapiga nyeto kila siku? Lazima apate papuchi ili roho itulie.
  10. S

    Msaada wa kununua android tablet.

    Nipo vacation nchi ya watu marekani, nataka kununua tablet ila nina mashaka kama zitafanya kazi vizuri bongo. Kwa wajuzi wa mambo, nahitaji kujua ninunue tablet gani ambayo nitatumia bongo vizuri? Je kwenye tablet nako kuna locked na unlocked? Je nikichukua locked from at&t au t-mobile...
  11. S

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Nina ndugu yangu ana matatizo sana na ndoa yake, naomba mawasiliano yako ili tuone utamsaidiaje kiushauri. Nilitaka kutuma PM ila naona umekuwa banned.
  12. S

    Single momz tunashida sana katika mahusiano

    Jamani nafuu kuwa single mama, ulee mtoto peke yako, kuliko kuishi na baba mtoto asiyejua majukumu. Utakuta mdada aliolewa, ameshazaa ila ndoa imemshinda sababu ya mume aliyekuwa naye ni mzigo. Mume yupo yupo tu, hatoi penzi kwa mkewe. Kila siku sababu kibao ilimradi akwepe wajibu wake. Hivi...
  13. S

    2005 Toyota Passo going for cheap price

    Kama utachukua 5.9 hata kesho njoo nitachukua gari.
  14. S

    Nahitaji gari ya 6 mil.

    Hayo magari mbona hamutaji miaka?
  15. S

    Nauza Gari aina starlet

    Mie nahitaji gari, ila niambie ina matatizo gani zaidi ya oil change amabayo ni kawaida. tufanye biashara.
  16. S

    Nahitaji gari ya 6 mil.

    Wanajf natafuta gari ya milioni 6. Isizidi cc 1600. Iwe imelipiwa kila kitu, nikinunua ni kuanza kuendesha. Hii gari inahitajika haraka iwezekanavyo.
  17. S

    Wapenzi wa aina hii ni pasua kichwa

    Kuna wanaume nao wapo hivyo, yaani kuna wanaume hajui kusema nakupenda, yaani hawajui maneno ya mahaba kabisa. Hata kutoa hug tabu, sijui ni ushamba au nini? Mkiachwa mnajishangaa, kuna wanaume hata kiss kutoa shida, labda muda wa sex tena labda mwanamke aforce. Jamani watu wa namna hii ni...
  18. S

    Wanawake wanaongoza kuua wenzi wao kwa siri kutumia vikolezo kwenye vyakula

    Basi kuna baba mmoja hali chakula kwake, muda wote anahisi mkewe anamuwekea sumu. Hadi kwa rafiki za mkewe, ndugu kote hali chakula kisa ni anawekewa dawa. Maisha gani hayo ya kuishi bila kuaminiana. Sasa huyo baba mwenyewe hata mali za maana hana zaidi ya kibanda kipo uswazi.Basi namuona kama...
  19. S

    Wanawake wanaongoza kuua wenzi wao kwa siri kutumia vikolezo kwenye vyakula

    Kuna wanaume wanakera sana, hata huyu mtoa mada ni mmojawapon naona. Inaelekea ndoa imemshinda huyu, anakuja kusingizia wanawake wanaua kwa kukupa sumu kwenye chakula. Kama una matatizo na mkeo, usije hapa kudanganya wanaume wenzio.
Back
Top Bottom