Search results

  1. tamuuuuu

    JamiiForums Usiku wa manane

    Me mwenyewe nipo nakula k vant hapa,liwalo na liweee.karibuni Nimepamiss home Mbeya mama John Ilomba huko. Sasa nipo Nanjilinji huku nalima mihogo daaah!
  2. tamuuuuu

    Usiku mwemeni

    Pole kaka,me nimechanganyikiwa nakula k vant hapa liwalo na liwe
  3. tamuuuuu

    Wapenzi washabiki na Wanachama wengi wa Simba kutoenda kwa Mkapa Jumamosi hii

    Litimu lina mgogoro wa kufa mtu,vipngozi wanapambana kupiga hela tu badala ya matokeo mazuri ya timu
  4. tamuuuuu

    Unaye mtu wa kukusikiliza? Kuna muda unapitia hali unapitia unatamani kumweleza mtu mmoja upate ahueni lakini hayupo

    Kiukweli natamani sn niwe na mtu wa kumwambia na kuongea naye.Ninayo mengi sana na sielewi nifanyeje?
  5. tamuuuuu

    Tetesi: Hiki kinachofanyika hapa kwenye ligi kuu ya bongo ni dhahiri Yanga atakua bingwa kila msimu!

    Games fixing ni kubwa sana ligi ya Tanzania. Matokeo halisi ni timu zikitoka nje
  6. tamuuuuu

    Kuna vodeo inatembea mitandaoni ya bodaboda kugongana uso kwa uso na Subaru huko Arusha inahuzunisha sana

    Nadhani kuna namna inatakiwa kufanywa kulisaidia hili kundi la watoto ma wala si vijana hawa.
  7. tamuuuuu

    Kuna vodeo inatembea mitandaoni ya bodaboda kugongana uso kwa uso na Subaru huko Arusha inahuzunisha sana

    Mkuu sijui hawa vijana ujasiri ule wanautoa wapi? Yani wapo speed kaliii na anainyenyua toyo tairi la mbele anatembelea la nyuma.Mbaya zaidi utakuta amepakia wenzake kwa nyuma na wengine ni mabint. Wangehamisha ujasiri huu kwenye kupigania haki na usawa wa kunufaika na keki ya taifa,maendeleo...
  8. tamuuuuu

    Kuna vodeo inatembea mitandaoni ya bodaboda kugongana uso kwa uso na Subaru huko Arusha inahuzunisha sana

    Sio kuzika,walikuwa wanaenda kwenye mashindano ya mbio za pikipiki leo.Unaambiwa wamekufa bodaboda 7 kwa siku ya leo tu
  9. tamuuuuu

    The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Ongeza na Bournemouth
  10. tamuuuuu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Bado ana Chelsea, man u,tot,Bournemouth hah
  11. tamuuuuu

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Bado ana game na Tot na man u hah
  12. tamuuuuu

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hah baaasi
  13. tamuuuuu

    Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    Sasa jamani mamaa kwani wewe ni mwanaume? Me nimesema mwanaume,sijasema mwanamke
  14. tamuuuuu

    FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

    Fixed games.Tanzania hamna ligi.Ndo maana kimataifa ni kugongwa tu
  15. tamuuuuu

    Watumiaji wa iPhone acheni ushamba na ulimbukeni

    Nikimwona mwanaume ameshika iPhone sijui namwonaje?
  16. tamuuuuu

    FT | Ihefu SC 1 - 1 Simba SC | NBC Premier League | Liti stadium | Aprili 13, 2024

    Masikini simba yangu inafungwa leo tena. Uongozi ujitafakari
  17. tamuuuuu

    Mke anamnyima mumewe tendo la ndoa, nini kifanyike?

    Huyo mke ni mshamba,ni ushamba kunyimana vikojoleo
Back
Top Bottom