Search results

  1. crome20

    Mamlaka ya Bandari (TPA) yatoa ufafanuzi kuhusu hali ya ajira za Watumishi wa Bandari ya Dar es Salaam

    Nikiona miaka 30!!!! Halafu nikasikia sauti ya Hangaika mjengoni halafu eti anaupiga mwingi
  2. crome20

    DOKEZO Gharama za kuegesha gari Hospitali ya Muhimbili ni kubwa na zinaumiza

    Kumjua Mgonjwa rahisi sana. Mgonjwa apewe green card ya kutolipia parking baada ya kumaliza matibabu. Hakuna mgonjwa asiye na doc zza matibabu. Anapewa pale getini, akimaliza matibabu anapewa another card kuonyesha alikuwa kwenye matibabu. Simple, ukitumia brain hicho ni kitu simple sana.
  3. crome20

    DOKEZO Gharama za kuegesha gari Hospitali ya Muhimbili ni kubwa na zinaumiza

    Yamenikuta juzi na JANA tu 27 Feb 2024. Tayari wamenilamba 10,000/= Ki ukweli niliumia sana. Pale Muhimbili si sehemu ya starehe na hakuna anayependa kwenda Muhimbili tu fo the sake of kwenda. Kwa bahati mbaya sana, hakuna huduma unayoweza kupata kwa muda wa saa 1 au 2...
  4. crome20

    Maghorofa yanachipuka kama uyoga jijini Mbeya awamu hii ya Dkt. Tulia na Rais Samia

    Mji unaoongoza kwa squatters wengi. Ni wa HOVYO mno, bora kuanzisha mji mpya kabisaaaa. Nakubaliana na aliyesema Mbeya ni Kijiji Kikubwa!!!
  5. crome20

    Kwa wale wote ambao wake zao ni wafanya kazi / waajiriwa asee poleni sana!

    Mpumbavu wewe unatoka na ma stress ysko huko, sijui umeachwa unakuja kuandika utumbo hapa eti utafiti.
  6. crome20

    Nipeni faraja, nimefiwa na mume wangu mtarajiwa

    Hadi unaingia humu na kuandika, umeshapata nafuu sana. Pole sana, Mungu atakukuangalia, endelea kujitunza
  7. crome20

    Paul Makonda's resilience and character serve as an inspiring example for all of us

    What challenges did he overcome? What principles are you referring to? Is there anything to emulate?
  8. crome20

    Niliyoyashuhudia Jeshini

    Acha ujinga. Kuna tulioenda jeshini mwaka mzima, unakuja kulialia na miezi 3 tu.
  9. crome20

    Naona Wema siku hizi anazidi kutakata ule Utanzania sweetheart unamfiti vyema

    Gari limetemembea km lak 2 , lazima ufanye major ovehaul
  10. crome20

    Ada za maegesho ya magari ziongezwe kufikia Tsh. 5,000/= kwa saa

    Ukitaka watu wasitumie usafiri wao, weka piblic transport ya heshima na ufanisi. Sio kuwakomoa wenye magari, Pumb@#%&
  11. crome20

    Ada za maegesho ya magari ziongezwe kufikia Tsh. 5,000/= kwa saa

    Hivi wenye magari binafsi wakipaki magari yao mnaaweza kuwahidumia wote kwa viwango vya ubora au unaropoka tu.
  12. crome20

    Mwigulu, Ulisema ujenzi wa SGR utagharimu Sh4.89 trilioni lakini mkataba umesainiwa Sh6.34 trilioni. Ongezeko la Sh1.45 trilioni. Maelezo?

    Kwani nyie MACHAWA tumekuajiri kwa kaxi gani? Mbona hamjibu hizi tuhuma, mnachungulia na kupita fasa. Spana hizo zifanye kazi
  13. crome20

    Wenye kwao wanajenga kwao, wakimaliza kwetu wataenda kwao!

    Mkataba wa bandari miaka 30 duuu!
  14. crome20

    Wale wahuni waliomuua Ghadaff nawalaani. Kila ninapopita na kuona kazi aliyofanya

    Endelea kuumia tu. Kuna kazi huku Kagera alifanya na nduguye Iddi Amini
  15. crome20

    Marekani, Israel wanashirikiana na ISIS kufanya ugaidi Iran. Huu ni uoga wa hali ya juu

    Aliyewaletea hizi dini kawaweza kwelikweli, mpo mnakondaaa na vitu visivyowahusu kabisaaaa. Mnapata stress na mambo ya mabwana wa babu zenu. UJINGA mkubwa sana huu. Hata sur yako kama maiti hivi
Back
Top Bottom