Search results

  1. Madela Wa- Madilu

    Kumbe ni Uongo, Uzushi, Fitna, Majungu, Wivu na Kijicho dhidi ya mafanikio yake! Makonda wapuuze

    Kushabikia Uongo kunakusaidia nini Pascal? Kesi tayari ipo mahakamani. I m sparing you for now.
  2. Madela Wa- Madilu

    Joseph Kasheku (Musukuma): Kitambulisho cha askari yeyote ni bastola

    Msukuma amechanganyikiwa. Bastola ni kitamburisho cha askari? Hiyo JKT anayosema nimepita hakuna kitu kama hicho. Bunduki ina urasimu wake kijeshi. Kuiambia jamii bunduki ni kitamburisho cha askari ni uzushi wa kisiasa na kujikomba Na ni mawazo potofu.
  3. Madela Wa- Madilu

    Lowasa katika mikono ya Tido Mhando

    If you cant fight join.
  4. Madela Wa- Madilu

    Kwa wana CHADEMA halisi

    Kuendelea kubaki chama cha Siasa Hai na Imara,CHADEMA ni lazima mgombea Urais wao ashinde na kutwaa kiti cha urais wa Tanzania; vinginevyo CHADEMA itaifuata NCCR mageuzi kwenye LIMBO. Body with life but no soul. Zombie Party
  5. Madela Wa- Madilu

    Angalia namna Lowassa anavyojichanganya na kuonyesha mapungufu yake mengi

    Njia Nyeupeeeeeeeeeee Hiiii hiiii Dr Silaha Ariye tu Hii hii hii. Kila kitu yeyey kuzila tuuuuu. Hiiiiiiiii Hiiiiiiii Baba ELO nakuamini saaana. Hiiiii Dogo! Funga domo lako Tulia, faidika na lifti.
  6. Madela Wa- Madilu

    Angalia namna Lowassa anavyojichanganya na kuonyesha mapungufu yake mengi

    Njia Nyeupeeeeeeeeeee Hiiii hiiii Dr Silaha Ariye tu Hii hii hii. Ukiacha Mzee EDDY mwenyewewe. Mtu mwingine ninaye mhashimu na kumpenda ni wewe baba Ed. Nikiwa na wewe niko salama kabisa
  7. Madela Wa- Madilu

    Angalia namna Lowassa anavyojichanganya na kuonyesha mapungufu yake mengi

    CHADEMA wanapata FREE ride ya MH Lowassa kwenda IKULU Not right. "CHADEMA Tunapata FREE ride ya MH Lowassa kwenda IKULU" Dogo Freemtu. Mimi ni Lowa wa Lowassa ride yangu ni ya Uhakika. Tuliza BOLI dogo.
  8. Madela Wa- Madilu

    Jenerali Ulimwengu, kumbe hata wewe ni mnafiki!

    Kule katika ulimwengu usio wa mwili ni mfueni kali. For we wrestle not against flesh and blood, but against principalities, against powers, against the rulers of the darkness of this world, against spiritual wickedness in high places.
  9. Madela Wa- Madilu

    Nyaraka: Kashfa ya Richmond - Maagizo ya Lowassa na Uamuzi wa Serikali

    Sheria ya nyaraka imekula kwao wenyewe.
  10. Madela Wa- Madilu

    Elections 2015 Mabadiliko Chanya ya Ujio wa Lowassa: CHADEMA Kuhama Ufipa!, Kuwa Makao Yake, Kituo cha TV na Redio!

    Watu wanatamani sana IKULU wako tayari kuingia kwa gharama yeyote. Kwa sababu wanajua ukisha tinga Ikulu basi MIFEDHA yote ni yako na makosa yako yote unalazimika kusamehewa. Hili goli la kisigino kwamba Lowassa alitemwa kwa sababu ni Msafi na mwenye Dira na Magufuri alichaguliwa kwa sababu ni...
  11. Madela Wa- Madilu

    Haya ndio maamuzi magumu ya Lowassa Vs Magufuli

    Watu wa kuongoza Tanzania hawajaisha kama ilivyo ishiwa CDM kiasi cha kuendelea na mwenyekiti Mbowe na kula mashonde fresh ya CCM. Hatusubiri hata yapoe?
  12. Madela Wa- Madilu

    Udikteta wa Mbowe: Msuguano Slaa na Mbowe waitikisa CHADEMA, Mafisadi wamteka Mbowe

    Chama kiliundwa na Mzee Mtei. Mbowe ni mkwe wa Mtei. Kifupi ni kwamba bado kipo mikononi mwake. Ile kauri ya Lisu kwamba hakuna Watu ndani ya CHADEMA ilikuwa inazaa mwanya ili siku Lowassa akija ionekane mtu kapatikana. Wana CDM Lowassa ana haki ya kujiunga na CDM lakini hili la kumteua...
  13. Madela Wa- Madilu

    Naondoka na Slaa kampeni ya CHADEMA Asilia!

    Siasa ni dimbwi la maji yatokayo chooni mpaka yachujwe na udongo ndipo hufaa tena kunywa. Hiyo gia ya kunyanyaswa ni bao la kisigino tena la FOBE.
  14. Madela Wa- Madilu

    Prof. Mark Mwandosya: Mchakato wa kumpata mgombea urais CCM uligubikwa na utata

    Hayo ndiyo matunda safi ya chama kutokuwa na maadili nidhamu na uwajibikaji. CCM ni cha kilichopoteza dira miaka mingi iliyopita kiko mpaka leo kwa nguvu ya ujinga wetu sisi wananchi. Ninashangaa watu wanao jaribu kumlaumu mtu mmoja ndani ya chama wakati 77% ni UOZA nuka
  15. Madela Wa- Madilu

    Magufuli ni Tingatinga? Hebu someni hapa!

    TINGATINGA LAZIMA LIENDESHWE. LISIPOENDESHWA LITALETA MAAFA! Hii statement haina mantiki hata kiduchu. Tingatinga lisipoendeshwa litaletaje maafa?????? kivipi?? Lisipoendeshwa halina hatari yeyote. Mtu akiitwa Jembe je utamjadili vipi? Mtasema mengi sana safari hii.
  16. Madela Wa- Madilu

    Ntayapeleka wapi haya??

    Peleka EBAY:peace: Au Team Lowassa ndo isha sambaratika? Marafiki wa Lowassa je, hawangependelea kuvaa mashatai yenye jina la rafiki yao?
  17. Madela Wa- Madilu

    Kikwete na familia yako na Kamati ya Maadili hamtaikimbia aibu hii mliyoitengeneza

    Tatizo la mtu wenu Lowassa ni kujisafisha Tuhuma za Richmonduli kwa kutumia pesa na uongo wa kuonewa huruma. Yeye si mchafu kuliko wachafu ndani ya CCM, lakini pia hawekeki akakaa kwenye kundi la wasafi. Hii ni mara ya pili anapigwa CHINI ndani ya CCM. Sijui apigwe mara ngapi ili mkubali kwamba...
Back
Top Bottom