du, we ulikuwa hujui kuwa taaluma hiyo ndiyo imepewa nafasi ya mwisho bila ya kufahamu kuwa huko ndiko kunakopikwa maofisa na maprofesa. nahisi tunaandaa vihiyo
umesema kweli hawa jamaa wanaboa, kwani hata baadhi ya waeangazaji wake ni wake wake wasikuwa na pumzi za kutangazia, mfano ni Gamba, huyu jamaa anafanya kazi kwa kubahatisha ila anahema sana wakati wa kutangaza sijui ni bahati au ukabila ndio kigezo cha kupata kazi ITV, kwa kitaaluna ni hovyo
hivi tutaondokana lini na hili jinamizi la kupea ajira kwa kutumia undugulaizesheni ambao haujali taaluma ya mtu maana haungalii hata uwe ungumbaru kinachojaliwa ni memo imetoka kwa nani .Hebu na tuwape nafasi watu waliofaulu kiukweli ili nao wafaulu matunda na kusongoka kwao.
mabegi ya dada zetu lazima yawekwe hivyo vitu coz wao wakotofauti kimaumbile. chupi, pedi, kanga ni lazima vinasaidia pale unapopota breedi ya ghafla kwani huwa inabadilikaga na kutofuata tarehe je unaweza kuendesha gari bila kuwa na spana au tairi la spea
jamani me naomba hayo majina yangewekwa katika mtandao kwani hakuna atakayeweza kufuta na itakuwa vizuri kwani wengine hawatapa hivyo vitabu coz wababe wameanza visa vyao
ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu kwani ujumbe lazima utafika kwa jamii jamaa wamezoea kuwa vihiyo na sasa tumechoka hizo fedha si bora angepeka kilosa kwani zingesaidia ujenzi kwa waathirika wa mafuriko, nahisi kichwa chake kitakuwa kimejaa tope
jamani hivi hawa wauguzi ni kweli hawakusababisha kile kiganja cha mototo mchanga kuoza wakati mama aliwaita mtoto alipozidiwa na hawakukwenda kumsaidia badala yake siku iliyofuata walimuongezea dozi, hivi tutakoma lini kuuliwa au kupata ulemavi kutokana na wauguzi wa aina hii?
jamani hivi hawauguzi ni kweli hawakusababisha kile kiganja cha mototo mchanga kuoza wakati mama aliwaita mtoto alipozidiwa na hawakukwenda badala kumsaidia hivi tutakoma lini kuuliwa au kupata ulemavi kutokana na walemavu
hiyo haisadii kama wa gundu ni wa gundu tuuu, kikubwa ni kusubiri wa ukweli kuliko kuwaendekeza hao matapeli wa mapenzi waliotapakaa mujini kama michanga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.