Search results

  1. Egyps-women

    Ungependa kutoka na nani hapa JF....

    Nzuri rais mtarajiwa
  2. Egyps-women

    WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

    jamani si atairudishia nikiitoa
  3. Egyps-women

    WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

    nahofia kuletewa magonjwa ndani ya nyumba nani atalea watoto???
  4. Egyps-women

    WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

    pole sana mawazo yako hayajengi ..unadhani ni bandika bandua hii:)
  5. Egyps-women

    WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

    kuaminiana kwa style hiyo jamani siku moja unashangaa gonjwa limeingia ndani lilipotokea aaah tulikuwa tunaaminiana haya ndugu asante kwa advice
  6. Egyps-women

    WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

    Mamito za siku nyingi ni heri sana nashukuru mungu na pia asante kwa ushauri mpendwa wangu vip za kwako Dear Kilichonishitua kwenye wasapu hii ni pale mdada alipokuwa anamuuliza utakuja lini pande hii na yeye kumjibu sasa niko kwa Family ila tutaonana tu hapo kweli si kuwa muzee anachit?
  7. Egyps-women

    Dear men...

    SURE:israel:
  8. Egyps-women

    WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

    Thanks tian unajua kuna wakati mungu anaamua kukuonyesha kitu ,,,sijawahi kupekuwa simu ya baba watoto ila siku hiyo nilipekuwa na nikasema sirudii ingawa tayari nimeshajua mume wangu si mwaminifu..na ameniumiza sana mtu hujari hata mogonjwa?
  9. Egyps-women

    WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

    sasa si ndo unataka kunivurugia kabisa .. Naomba ushauri wako tafadhari
  10. Egyps-women

    WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

    Nitajaribu kuongea nae ingawa najua mwenzangu yeye huwa anaona yuko sahihi kwa kila kitu ..
  11. Egyps-women

    WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

    Ok Elli kuchat sawa mie ningekuta kachat mambo ya kawaida ya msingi kuwa anatafuta kiwanja,shule ,maendeleo nisingekuja kulalama hapa ..wanachat mambo ya mapenzi kumisiana na mengineyo...Pulizi
  12. Egyps-women

    WhatsApp Messenger chat Itanivunjia ndoa yangu..

    Ladies and Gents habari za siku nyingi .. Nilikuwa busy na kitabu pia family ndio maana nimekuwa Kimya Kidogo Leo nina tatizo naomba ushauri na msaada kimawazo.. Nimekuwa na mme wangu kwa miaka minne sasa na tumebahatika kupata mtoto ana 2 years old girl Jmos moja mme wangu alinipa simu...
  13. Egyps-women

    Ungependa kutoka na nani hapa JF....

    nitaaminije yakhe
  14. Egyps-women

    Mdada katendwa kabakia haamini kama ni yeye ...

    Mbona sisi hatuwatendi namna hii Dark City kila kukicha matukio kama haya kwa wanaume yanazidi whyyyyyyyyyyyyyyyyyyy kwa nini?
  15. Egyps-women

    Mdada katendwa kabakia haamini kama ni yeye ...

    na wao inabidi watuheshimu......
  16. Egyps-women

    Mdada katendwa kabakia haamini kama ni yeye ...

    Mdomo uliponza kichwa mpe pole
  17. Egyps-women

    Moyo wa Kupenda hauna subira.......

    TANMO Nimemalizia nipe pole.
  18. Egyps-women

    Moyo wa Kupenda hauna subira.......

    Hapana Lizzy sasa unaweza kumalizia story yangu mama
Back
Top Bottom