Search results

  1. Mnwele

    Jamani Azam TV tuhurumieni kwa kutuachia Local Channels

    Tatizo watu wengi mnaichukulia AZAM kibongobongo zaidi. Leseni ya AZAM kurusha matangazo ni tofauti (mbinu ardhi ) na ving'amuzi vyote vya kwetu. AZAM wana rights kama za DSTV ama ZUKU na wanalipa kodi ndefu sehemu tofautitofauti. Ukitaka kuwa bold kabla hujaishambulia Azam kumbuka kwamba huduma...
  2. Mnwele

    Hamad Rashid avuliwa uanachama ADC

    Oops...poor Zanzibar...what the hell is this!
  3. Mnwele

    KISA CHA MAWIO, MWANAHALISI WAANZA KUTIA MAJI

    THE INFORMATION IS POWER! Anyway by the way Nisaidie tafadhali.....naona hapo umeniacha! Sijaelewa kabisa hizi grammar!!
  4. Mnwele

    Mishahara ya Marais wastaafu ipunguzwe

    .....Umekurupuka....Hesabu zako za Kayumba....! milioni....then billion...halaf ndo trillion...ebu rekebisha
  5. Mnwele

    Msaada makadirio ya paving blocks

    Price: Made in Tz :18,000-16,000 TZS per square meter Made in Nje: 28,000-25,000TZS per square meter
  6. Mnwele

    Membe: Tulikuwa tunagongana angani utadhani nyumbani kuna moto

    Rais Magufuli is also in record ya kuwasema woote wanaoponda safari za Rais nje... In one if his famous budget summation speech aliomba wabunge waache kumbugudhi Mh JK kwa safari zake kwani ndo zinatupa ulaji. Aliomba rais aendelee mara dufu kwenda nje....what a paradox!
  7. Mnwele

    Hofu kuu imetanda CHADEMA, Majimbo yanayoenda kufanya uchaguzi kubaki CCM

    Hayo ni maoni yako na unahaki na uhuru wa kujieleza. Tatizi ninaloliona ni hapo unapojaribu kujichukulia ama kupokonya nafasi na utashi wa wapiga kura.
  8. Mnwele

    Rais John Magufuli afanya Ziara ya ghafla kwenye Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

    Seeking public support in a skewed approach!
  9. Mnwele

    Wasomi wa Elimu ya Juu wakataa kuburuzwa

    Gharama za wanafunzi woote elimu ya juu wa TZ kqa mwaka ni bilion 328. Kuna watu wanapiga bilions kila mwaka. Nikuamua tu maana hiyo nibpesa yabmtu mmojaa au 2 tu kwa deal zao
  10. Mnwele

    Utafiti wambeba Magufuli urais 2015

    Population-? Margin of error? Confidence level? Sample size? Methodology? Tools?
  11. Mnwele

    Rais Kikwete fanya hiki Dr. Magufuli apate kura za waalimu

    Siasa ni hesabu. Walimu wote wa serikali Tz wako 260,000 tu. Waliojiandikisha kupiga kura ni 24,000,000. Jiongeze mwenyewe
  12. Mnwele

    TCRA, tujuze kwanini Azam TV haiwekwi kwenye ving'amuzi kama Local channel

    Guys please be advised that..Azam Tv ni Pay Subscription SatelliteTv na sio Terrestial Tv....however ni kweli zote zina visimbuzi but kuna gross difference. Ni vile tu owner ni mwenzenu na headquarter iko hapa bongo. Otherwise Azam wanaweza kurusha matangazo yao ama base yao kwa kusimika...
  13. Mnwele

    Tunduru iko nyuma sana kimaendeleo na wananchi hawajafikiwa na nuru

    Myopic argument. Juu na chini tofauti. Nani alikuambia uzinduzi ufanyika kwa barabara ya Lami tu.? Nikusaidie kidogo...mwezi Oct 1989 Mzee Mwinyi alizindua barabara ya Kibiti Lindi. Swali ni je ilikuwa na Lami?
  14. Mnwele

    Elections 2015 Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CCM nchini kote

    Wewe ndo mzushi. Malombwa hajawahi kuwabMbunge wa Rufiji. Get your homework done.
  15. Mnwele

    Hivi Obama hotuba zake huwaga haandiki?

    Nyongeza. Full speech inakuqa standby na mara nyingi inawekwa karibu incase the tele device inabuma....it once happened na ilikuwa gumzo sana US.
  16. Mnwele

    Ivona Kamuntu kuiga sauti ya Ansoi wa BBC

    Mhhh we una lako jambo.
  17. Mnwele

    Mahakama ya Kisutu yawahukumu Mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona kwenda jela miaka 3

    Sema wewe ndo unaomba sio tunaomba na nani? Hukumu za bongo sio automated kama ulaya bado ni manual....not today wala kesho...ngoja wapumzike kule wasikotaka kukarabati.
  18. Mnwele

    Azam TV yatangaza kuanza mazungumzo EPL na La Liga

    You guys upthere...mbona kiswahili kinaeleweka tu....wameanza mazungumzo ambayo wenyewe wamekiri kuwa ni magumu lakini wanapigana. Hakuna lisilowezekana. Kule Nigeria kikampuni kidogo sana cha HTV kilifanya mageuzi hayo ya ukiritimba japo walipata msukosuko wa kiftna. Inawezekana lakini sio...
  19. Mnwele

    Wapinzani bado kuongoza tanzania

    Nina wasiwasi na uchambuzi wako. Kwa namna yeyote hiyo demokrasia nabustawibwa jamii tunaoutaka ni lazima tufanye mparaganyiko kwa chama kikongwe. Ni lazima kwanza tupate chama mbadala ambacho kitaitwa upinzani. Inawezekana sio hivi tulivyonavyo lakini ukweli ni wazi kwamba mifumo hii...
Back
Top Bottom