Search results

  1. C

    Kwa wahasibu wetu: Nyumba ni 'Asset' au 'Liability'?

    In Business oriented minds a house whether acquired through loan or own money is a liability in the sense that once acquired you need to set aside part of your earnings to pay for various bills (water, electricity, municipal rent, repair, etc.) which you didnot need them without owning a house...
  2. C

    IS IT WORTH THE INVESTMENT FOR GOVERNMENT TO SPEND 12bn/ FOR AfDB Meet

    First, you should understand that Tanzania is the shareholder of the AfDB, and that hosting of the bank's annual meetings is an obligation of the shareholders. Second, since the bank's operation started its operation in the country in 1971, over USD 3 billion (equal to TShs 4.8 trillion at the...
  3. C

    Hili Gwaride la utambuzi kwa watumishi wa serikali, siliafiki

    Ukweli ni kwamba, utambuzi unafanywa kwenye maeneo yao ya kazi (physically), zoezi hili linaendelea hivi sasa. Kwa wasiokuwepo kwa sababu yoyote ile, mafaili yao yatatumika kuwatambua. Baada ya utambuzi, mishahara italipwa kupitia benki na siyo dirishani.
  4. C

    Hawa mawaziri ni wa serikali ipi?

    Kwa mambo yalivyo kwa sasa, Serikali ya Muungano inashughulikia pia masuala yasiyo ya Muungano (yaani Tanganyika au Tanzania Bara), kwa kuwa hakuna serikali ya Tanganyika/ Tanzania Bara, mawaziri hawa ni wa Serikali ya Muungano wanaoshughulikia mambo yasiyo ya Muungano (Tanganyika au Tanzania Bara).
  5. C

    Kwa heri Kamanda Philip Magadula Shelembi"- WASIFU UNAOISHI...

    Kazi uliyoifanya tutaienzi kwa kuendeleza mapambano dhidi ya udhalimu! Umetuonyesha njia!
  6. C

    Godbless Lema kuwa naibu katibu mkuu wa CHADEMA

    Katibu, Naibu Katibu Mkuu huteuliwa na mwenyekiti, sidhani kama Mbowe anaweza kumteua Lema kuwa Naibu Katibu Mkuu!
  7. C

    Msaada kwa mkaka

    Kibarua siye mmiliki wa mali, na kitanda hakizai haramu. Kaka mwizi hana chake, yeye alikuwa ni kibarua tu!
  8. C

    Kwanini makamo wa rais atoke zanzibar? Sioni mantiki yake!

    Kuna udhaifu mkubwa katika Katiba, kwani hata Rais wa Muungano hana uwezo hata wa kuteua wala kumwajibisha kiongozi wa ngazi yoyote Zanzibar. Kimsingi Makamu wa Rais hana shughuli za kufanya kikatiba, bali hupangiwa na Rais. Na kwa kuwa SMZ iko juu ya Muungano kwa maswala ya Zanzibar, basi...
  9. C

    Mshkaji wa karibu kammega demu wangu

    Binadamu hana fdhila, tenda wema bila kutarajia kulipwa!
  10. C

    Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Mimi sioni kama ni tatizo kwa Zanzibar kuanzisha bodi yao ya mikopo, cha msingi ni kwamba, chanzo cha mapato ya bodi hiyo iwe Serikali ya Zanzibar na siyo ya Muungano!
  11. C

    Afande Sele amchana Kikwete kavukavu!

    Wana-muziki inabidi waache kutumiwa, kwani wanao-watumia wakishafanikiwa huwa hawawezi kuwakumbuka!
  12. C

    Sasa ni Zamu ya Wazanzibar...

    Zanzibar in Rais wake ambaye ni Mzanzibari, mnataka Mzanzibari aongoze Tanganyika kwa kivuli cha Muungano? Hilo haliwezekani kabisa! Mwinyi ndiye wa mwisho kuongoza Tanganyika. Haitatokea tena. Muache kabisa hiyo ndoto!
  13. C

    Ziara ya dr. Bilal (Mbeya) yadoda

    Hii picha inafanana na zile za kampeni za uchaguzi 2010! Inepigwa lina na ni wapi?
  14. C

    Wazanzibari wapanga kufanya mandamano 1/4/2011 kisa wamechoshwa na Muungano

    Kila April 1 ni siku ya wajinga! Imekaaje hii? Siamini kama wazanzibari wanaweza kuandamana siku ya wajinga! Unatuhakikishia vipi?
  15. C

    DPP kuiadhibu CHADEMA?

    Mfa maji haachi kutapa-tapa, CCM wameshikwa pabaya, watafanya kila linalowezekana kudhibiti vugu-vugu hili la mabadiliko linaloongozwa na CDM. Hakika hawataweza! Mungu Ibariki TZ, Mungu Ibariki CDM!!!
  16. C

    Jeshi lilijua kuwa mabomu yangelipuka...?

    Ni ajabu! Inasemekana kuwa wanajeshi wengi wamefariki hasa wale wa kike, kwani kuna mabweni (mahanga) yanayotumiwa na wanajeshi wa kike ambao hawajaolewa yametekea!
  17. C

    Je MNYIKA ALIJIANDAA KUPELEKA HOJA YA KATIBA?

    Nadhani alichomaanisha Mhe. Mnyika ni kujiridhisha na kipengele cha 98 kama kinatosheleza katika kuwapa uwezo/ushiriki wa wananchi katika utungaji wa katiba mpya. Hili lilifafanuliwa vizuri sana na Dr. Sengodo Mvungi, alipokuwa katika mjadala wa katiba mpya ulio-ongozwa na Masako katika ITV...
  18. C

    CHADEMA kisisikilizwe tena!

    CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeshinda uchaguzi na kufanikiwa kuongoza Halmashauri ya Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro. Diwani wa Kata ya Machame Kaskazini, Clement Kwayu, ndiye alishinda nafasi ya mwenyekiti wa halmashauri hiyo. Hai ni Halmashauri ya sita kuongozwa na CHADEMA...
Back
Top Bottom