Naombeni kuuliza huwa nasikia kuwa Majaji wote wa mahakama kuu na rufaa huenda likizo kuanzia tarehe 15/12 kila mwaka mpaka mwezi wa tatu labda wale wanaosikiliza shauri za jinai, sasa kwenye kesi ya Lema inakuaje??? Nasubilia hukumu kwa hamu, natumaini Mungu yupo upande wa Lema, Ndani ya Bunge...
Miaka yote mbona vibali vya ajira wizara ya Afya hutoka mwezi October mwanzoni, lakini mwaka huu umepita bila kutoa? Pia mishahara ya October bado? Nchi imefilisika nini?
Mwaka wa fedha 2012/2013 Serikali imeshindwa kutoa vibali vya ajira kwa wakati kama ilivyokuwa ikifanya miaka yote kutoa vibali vya ajira kwa watumishi wa kada ya afya mwanzoni mwa mwezi wa kumi kutokana na ukosefu wa pesa ya kulipa watumishi hawa wapya.
Yafuatayo ni madai ya madaktari na majibu yaliyotolewa na serikali.
Kupandisha mishahara,
Bajeti ni finyu, kuwaongezea madaktari mishahara kutaongeza migogoro ktk secta nyingine,
Bima ya kijani kwa watumishi wa afya
serikali itaendelea na mazungumzo na mifuko hii, ili kuona kama wataboresha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.