Search results

  1. M

    Nahitaji Kujiunga na upadre

    unataka Kuwa Padre Jamii forums?
  2. M

    Utawaambiaje Bodaboda Lowassa kashindwa wakuelewe?

    Kweli wewe gutumbo.....waendesha Bodaboda ni kaka na Dada zako tena ni watanzania kama wewe...
  3. M

    Utawaambiaje Bodaboda Lowassa kashindwa wakuelewe?

    Habarini, Kama mjuavyo asilimia 57 ya wapiga kura ni vijana ambao kwa hesabu za haraka 50% watampigia kura Lowassa na hao 7% hawaeleweki. Ili kupata ushindi Rais anatakiwa awe na kura zaidi ya 50%, kwa kuangalia orodha ya Tume inaonesha wengi ni wapiga kura wa Lowassa, wanatarajia Lowassa...
  4. M

    NIDA: Mwaka wa pili sasa nasubiri kupiga picha ya kitambulisho cha taifa

    Habarini wanajamvi, Nikiwa Mtanzania kama walivyo wengine nami niliitikia wito wakujiandikisha kwenye daftari kwa ajili ya kitambulisho cha taifa. Ni miaka miwili sasa imepita toka nijiandikishe lakini sijawahi fanikiwa kupata kitambulisho kwani sijapigwa picha. Nimekuwa nikitembelea kituo...
  5. M

    Nikipewa mil 50 naacha kazi na vyeti vyote nachoma moto

    UZEZETA hauko hivi kaka,UZEZETA ni kubaki ofisini,kujiongezea elimu ili siku moja uwe Bosi ndio maana mnaishia kurogana tu ili mmoja afe uchukue nafasi yake.
  6. M

    Nikipewa mil 50 naacha kazi na vyeti vyote nachoma moto

    ushauri mzuri sana kaka,watu wapo kukashifu tu bali hali halisi ni kwamba watu wanakufa na tai shingoni,kazi hawawezi acha ingawa zinawanyima kutimiza ndoto zao...wapowapo tu wanategemea labda baada ya kukaa kazini muda mrefu watapata umanager na kuongezewa mishaara,wanajiongezea elimu sio kwa...
  7. M

    Nikipewa mil 50 naacha kazi na vyeti vyote nachoma moto

    Habari wanajamvi, kwa hali ilivyo kwetu sisi wafanyakazi hasa sisi wakipato cha chini, maisha yetu yanazidi kuwa magumu. Nimejitahidi kumtumikia kafiri miaka 7 sasa huku nikisave kila mwezi lakini hadi leo mil 10 sina, kila siku linazuka jipya na uchumi unaporomoka in short ajira hainisaidii...
  8. M

    CRDB mjirekebishe,Huduma zenu mbovu

    Poleni na Majukumu wana JF,naandika waraka huu kuelezea masikitiko yangu kwa CRDB. Kwanza kabisa,mtandao wenu wa ATM ni korofi sana,na mara nyingi ATM zenu zinakuwa hazina pesa hata kama hiyo ATM ipo kwenye tawi,mfani pale brach ya Mlimani city pana ATM kama sita hivi na utakuta ni ATM moja tu...
  9. M

    Mradi wa DARTS (MABASI YAENDAYO KASI) umewatenga walemavu

    Habari wanajamvi;poleni na majukumu. Naandika ujumbe huu kwa masikitiko maana ndugu zetu walemavu wametegwa na mradi huu mpya. Ukiangalia mradi huu kuanzia Posta hadi Kimara hakuna hata mahali panapo mruhusu mlemavu kuvuka. Chukulia mfano mlemavu anakaa kati ya vituo viwili vya mabasi sema...
  10. M

    Kijana wa CHADEMA asimikwa kuwa kiongozi na kiongozi wa Malaigwanan

    photoshop kazini..kusoma hatuwezi hata picha hatuoni...CCM wanajulikana kwa photoshop,sikudhani kwama CDM nasi tungeiga
  11. M

    Kwa nini waTanzania wengi huwa na diary za miaka ya nyuma?

    Nimekuwa nikijiuliza binafsi kujua hasa kwa nini waTanzania tuliowengi hutembea na kutumia diary za miaka ya nyuma, mfano kuna maelfu ya waTanzania hadi leo tunatumia diary za mwaka 2010-2012. Je mipango yetu bado ipo juzi na jana wakati tunaishi leo? Au ndo hatuna utamaduni wa kujipangia...
  12. M

    Pope Benedict VXI atangaza kuachia ngazi

    BBC wanadai inaweza kuwa ni suala la afya na uzee pia ndio vitakuwa vimechangia maamuzi hayo. kuna mkutano na waandishi wa habari nusu saa kutoka sasa.
  13. M

    Pope Benedict VXI atangaza kuachia ngazi

    taarifa ya BBC sasa,more updates to follow
Back
Top Bottom