Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watuhumiwa 40 kwa tuhuma za kula njama za kutoa makontena zaidi ya 2500 kinyume na utaratibu wa sheria na kuisababishia hasara Serikali ya mabilioni ya fedha.
Akizungumza leo Jijini Dar es Salaam, Kamanda wa Polisi, Kanda Maalum ya...
Kwa mujibu wa wakuu wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter wamesema, Katy Perry anaongoza kwa kuwa na wafuasi wengi ambao ni 78.3 milioni, akifuatiwa na Justin Bieber - 70.5 milioni.
Wengine ni pamoja na Taylor Swift ambaye anawafuasi 66.7 milioni huku Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na wafuasi...
Na Rashid Nchimbi wa Jeshi la Polisi Arusha,
Jeshi la Polisi mkoani hapa limeazimia kushirikiana na Makapuni binafsi ya Ulinzi na taasisi za Ulinzi kutoka UN-ICTR, UNMICT, kitengo cha Ulinzi cha B.O.T pamoja na Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu katika kupeana baadhi ya taarifa za uhalifu...
Wanajamvi,
Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA, imekusanya zaidi ya Sh. bilioni 5 za kodi ya makontena 329 yaliyotoweka Bandarini Dar es Salaam.
Kaimu Kamishna wa TRA, Dk. Philip Mpango, amesema leo na kwamba jumla ya wafanyakazi 35 wanashikiliwa kutokana na sakata hilo.
Wakuu,
Gari lililokuwa limebeba Magazeti ya Kampuni ya Mwananchi Communication Ltd, Wachapishaji wa magazeti ya Mwananchi, The Citizen na Mwanaspoti kwenda Mbeya limepata ajali Kitonga leo alfajiri na inasadikiwa waliokuwemo ndani ya gari hilo wamefariki.
Garila kampuni hiyo ambalo limepata...
Wkuu,
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, mchana huu amefanya tena ziara ya kushtukiza katika Bandari ya Jiji la Dar es Salaam pamoja na Shirika la Reli Tanzania (TRA).
Tangu alipoingia katika maeneo watumishi mbalimbali wa serikali walipokuwa katika maeneo yao ya kazi walionekana kupigwa...
Kundi la watu wasiojulikana wenye silaha usiku wa kuamkia leo wameivamia na kuiteketeza kwa moto studio ya kurushia matangazo ya kituo cha radio cha kibinafsi cha Hits FM kilichopo eneo la Migombani, jimbo la Kikwajuni visiwani Zanzibar.
Gambia has announced that it will ban female genital mutilation, or FGM, as a global campaign to end the practice takes effect.
Last week, President Yahya Jammeh said FGM was outlawed immediately, but gave no specific timeline for the government to draft legislation enforcing the ban.
More...
Utafiti uliofanywa kwa niaba ya Serikali ya Kenya na wahadhiri wa chuo kikuu cha Moi kilichoko katika Bonde la ufa umebaini kuwa Majani ya miraa inayofahamika pia kama 'Mirungi' unazuia ukuaji wa manii.
Aidha, ulaji wa kipindi kirefu wa miraa unafanya mbegu za kiume za wanaume kufa haraka pindi...
Watuhumiwa watano waliokamatwa wakisafirisha kobe nje ya nchi kupitia uwanja wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu likiwemo kuratibu makosa ya kuhujumu uchumi.
Makosa mengine ni ya kupatikana na nyara za...
Mahakama Kuu Kanda ya Tabora inayosikiliza kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi jimbo la Kigoma Kusini ilofunguliwa na David Kafulila dhidi ya washtakiwa; Husna Mwilima, Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya uvinza kama msimamizi wa uchaguzi na Mwanasheria mkuu wa Serikali ilipokea pingamizi...
Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dk. John Magufuli, imejipambanua katika harakati zake za kurudisha uadilifu katika nchi na kukabiliana kwa nguvu zote na rushwa na ufisadi.
Pamoja na ukweli kuwa maadui wa taifa letu wanaojulikana ni ujinga, umaskini na maradhi, lakini matatizo ya rushwa...
Mahakama ya Hakimu Mkazi wilayani Mbeya imewahukumu wakazi wawili wakazi wa Uyole kutumikia kifungo cha miaka 7 kila mmoja baada ya kuvunja na kuchoma nyumba ya waliyemtuhumu kuwa ni mchawi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.