Search results

  1. P

    New Habari mambo si shwari mshahara bado!

    hawa jamaa mshahara bado kueleweka kwa mijubu wa taarifa za leo asubuhi na utawala umekaa kimya. Ni hali ya hatari kwa maisha ya watu ukuzingatia hiki ni chombo cha habari kilitakiwa kuonyesha mfano. Wasiwe tu wepesi wa kuandika mabaya ya wenzao yakiwakuta nao waweke hazarani.
  2. P

    New Habari mambo si shwari mshahara bado!

    Umemsahau na Hussein Bashe!
  3. P

    New Habari mambo si shwari mshahara bado!

    Sheria mbali kote huko, Waitishe Kunji kumshurutuisha RA aje kutoka bungeni?
  4. P

    New Habari mambo si shwari mshahara bado!

    WAO NI MABINGWA WA KUANDIKA YA WENZAO NAO WATOE FRONT STORY KWAMBA HATUJALIPWA MSHAHARA TUNAKUFA...... Then Balile aweke mbwembwe zake hapo:confused: (ataweza?)
  5. P

    New Habari mambo si shwari mshahara bado!

    NATOA HOJA: TUWAPITISHIE BAKULI HAWA NI NDUGU ZETU WASIGEUKE OMBA OMBA. Naomba kuunwa mkono ndugu wanajamii. Tusifanye mzaha
  6. P

    Kuna uhusiano gani kati ya gazeti la Rai/Mtanzania na CJJ ?

    Magazeti haya yanajaribu kutumia propaganda kuonyesha kwamba kuna watu ni wahalifu au wanakiasi chama ili wafukuzwe. Ni mbinu iliyoshindikana sababu welengwa wameshtukia dili
  7. P

    Natafuta Mchumba/mume

    [ Awe mpenda maendeleo, na pia awe ni mtu anaemjua mungu. . Kipengele hicho binti wa kichaga laziima kiwepo. mCHAGA WA WAPI MANAKE WACHAGA NDIO ZENU HAMTAKI NASIKIA WA KISHUMUNDU
  8. P

    Muhingo Rweyemamu kulipwa fadhila?

    Kwa nini isiwezekane mkuu. Kama iliwezekana kwa Salva Rweyemamu why not Mhingo? Ndio anakuwa ME AU?
  9. P

    New Habari mambo si shwari mshahara bado!

    Inasemekana ndani ya kampuni hiyo mambo si shwari kutokana na kwa miezi kadhaa sasakushindwa kuwalipa wafanyakazi mishahara kwa wakati ( tarehe 46) na pia kukabiliwa na migogoro kadhaa ya ki utawala hata kupelekea baadhi ya wafanyakazi kufutwa kazi. Suala la mshahara linaonekana kuwa sugu sasa...
Back
Top Bottom