Search results

  1. Sales93

    INAUZWA Vifaa vya Salon

    Sterilizer mpya inauzwa. Bei 150,000/- Kwa mawasiliano 0746 359 376 DSM
  2. Sales93

    Sterilizer mpya

    Haha ukiamua kuitumia hivyo sawa pia!
  3. Sales93

    Ni njia zipi zinazofukuza nyoka zaidi ya hizi?

    Hahahha huyo sio black mamba ila angalizo tu, chukua hatua ya tahadhari kudeal naye ila angekuwa black mamba asingekupa hizo sekunde kumi za kutazamana, zaidi ungekuwa mochwari sasa hivi with a toe tag. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Sales93

    Sterilizer mpya

    Mawasiliano 0746 359376 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Sales93

    Sterilizer mpya

    Habari wanajukwaa nauza sterilizer mpya inafaa kwa kusafishia vifaa vya salon za kiume na za kike kama vile mashine za kunyolea,vitana brush na kadhalika. Napatikana DSM Bei Tshs170,000/- Mawasiliano: 0746 359376
  6. Sales93

    Rozay mbona hajapost waka waka ?

    Diamond followers wake wengi wapo based Tanzania na East Africa wakati Rick Ross followers wake wengi ni world wide hiyo ndo tofauti.
  7. Sales93

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Mkuu kwa uelewa wangu mdogo, mambo ya copyrights yanakuwa issued na COSOTA (Copyright Society of Tanzania) kwa upande wa Tanzania bara ila kwa Zanzibar ni COSOZA, pili kwa kipengele cha patents registration/recognition hii inatolewa na serikali kupitia BRELA ikishirikisha ARIPO na WIPO ili...
  8. Sales93

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Mkuu kwa uelewa wangu mdogo, mambo ya copyrights yanakuwa issued na COSOTA (Copyright Society of Tanzania) kwa upande wa Tanzania bara ila kwa Zanzibar ni COSOZA, pili kwa kipengele cha patents registration/recognition hii inatolewa na serikali kupitia BRELA ikishirikisha ARIPO na WIPO ili...
  9. Sales93

    Mambo muhimu ya kuzingatia katika uendeshaji wa kampuni

    Elimu nzuri sana jamii forums big up
  10. Sales93

    Now Withdraw from PAYPAL to tigopesa, mpesa & Airtel money

    Sawa sawa hapo kweli tunafelishwa mambo mengi na BOT yetu
  11. Sales93

    Now Withdraw from PAYPAL to tigopesa, mpesa & Airtel money

    Mr Good guy mimi nina neno hapa, utanirekebisha kama sitakuwa sawa, Iko hivi mimi nilishawahi kupurchase item eBay kupitia PayPal yangu ambayo ipo connected na CRDB Acc baada ya muda yule seller akanicontact kunieleza kwamba hawezi kutuma mizigo TZ hivyo akasema atanirefund, baada ya Muda pesa...
  12. Sales93

    Kuna nini nyuma ya pazia? Mikufu wanayovaa members wa WCB yote inafanana

    Ni kweli mkuu label nyingi cheni zao huwa ni label zenye logo ya group kwa upande wa WCB sijui labda wao wameamua kutumia logo ya design hiyo ila tamati yangu ni kwamba wasanii wanaotoka label moja kuvaa cheni zinazofanana sio jambo la ajabu.
  13. Sales93

    Kuna nini nyuma ya pazia? Mikufu wanayovaa members wa WCB yote inafanana

    Fatilia label nyingi za muziki mleta uzi utagundua kwamba label huwa zinawapa cheni zinazofanana wasanii wao ili iwe identity ya label wabayotoka mfano mzuri ni MMG Rick Ross, G UNIT, QUALITY CONTROL, YOUNG MONEY ETC, Hivyo basi ni jambo la kawaida sio la kuhusisha na imani potofu.
  14. Sales93

    Vita vya Kagera: Nini chanzo? Kulikuwa na ulazima?

    Nimechelewa sana kusoma hii thread ila kama bado upo active basi nina mashaka na uraia wako
  15. Sales93

    Mambo 10 usiyoyajua kuhusu mnyama Simba

    Hahaha mkuu umenichekesha sana
  16. Sales93

    Lissu amshukuru Rais Magufuli kwa wema aliomtendea

    Wa TZ naona bado hamuelewi sarcastic words
  17. Sales93

    Totenham Hotspurs inafungwaje na vibonde Arsenal ?

    Mkuu hata ukifatilia historia arsenal ni mbabe kwa totenham, kama mkeka wako umechanika pole mkuu
  18. Sales93

    Fahamu kuhusu biashara ya kuuza chakula (Mgahawa)

    Ndio ndugu tunajaribu kupambana na hali zetu.
Back
Top Bottom