Wiki mbili zilizopita nilikutana naye pale Regency Hotel Mikocheni/Msasani akiwa na Lau Masha, Makalla na wenzao wakipiga maji kama hawana akili! Walikuwa na Totoz pembeni yao, nadhani wale walikuwa mamiss!
Hili lijamaa kwa kutoa mlungula halijambo, alinunua ubunge toka wakati wa nominations kwa kutembeza hela, wakati wa uchaguzi alimwaga fedha nyingi tena zilizotoka kwa Rostam. Aombe mungu tu maana uchaguzi ukirudiwa Makongoro atakuwa ni historia!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
hahahaha!! Watanganyika no wanamagamba mnachekesha sana. Mtu anatimiza robo ya wajibu wake tu halafu mnampa siiiiiiiifa, utafikiri amafanya kitu kisicho tarajiwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Mkoa wa Kilimanjaro sasa utakombolewa na maombi ya wanamagamba yatakuwa yametimia!! Mikoa ya kaskazini yote kuwa chini ya CHADEMA si dhambi, dhambi itakuwa kushindwa kukomboa mikoa yote ya Tanzania kutoka mikononi mwa Mafisadi!!!
tena ndiyo mikoa ya watu wenye akili zaidi ambayo kimaendeleo iko mbele!! Mkoa wa morogoro, lindi , pwani na mtwara iko nyuma sana na hao ndo wanaoimba kwa sana chama cha magamba!!
hawa Polisi wetu wanajishughulisha na siasa zaidi kuliko kufanya kazi zao!! ndiyo maana vibaka wanachomwa moto maana kazi za kulinda raia na mali zao zimeachwa mikononi mwa raia wenyewena badala yake raia tunajichukulia sheria mikononi. Ole wao hao polisi tutakapo choka na kuamua kupambana nao...
Uamuzi wa kesi zote hizo umeisha fikiwa na mahakama zetu ila hukumu zimepelekwa UWT Makao Makuu ili watoe ushauri kwa Mkulu kabla ya kufanyiwa editing na kusomwa! Lazima Magamba watuumize katika hili ili upepo wa kuwakataa Mawaziri wezi upite haraka, tunaanze kujadili uchakachuaji wa kesi!!!
Lazaro Nyalandu
Bwana asipoulinda mji, yeye akeshaye afanya kazi bure. (Bible)
haya ni maneno ya NAIBU WAZIRI LAZARO NYALANDU alivyomjibu waziri wake huko kwenye facebook! ilibidi nimpe LIKE ya nguvu kwa maneno hayo machache lakini yenye mana kubwa!!!!
hayupo kwa EL kabisa, aliyekuwepo ni mtangulizi wake Bw. Mruma ambaye alipigwa chini mara baada ya EL kujiuzuru uwaziri mkuu.Huyu wa sasa ni mdini fulani, amekakaa kihasara tu
Hata mie sijui hawa vilaza wa CCM wanaogopa nini katika suala la Muungano! Wengi tunaamini kuwa muungano unapendwa na una nafasi ya kushamiri, lakini kuna watu wachache ( nadhani kwenye kamati kuu ya CCM au Halmashauri kuu) hawataki kuona kitu ambacho watanzania wenzao wanzungumzia! Wangependa...
Mnaowasiliana na Zitto, mshaurini ayaweke majina ya walioweka saini zao hadharani ili wapiga kura tujue nani ni nani!! " You either support us in this war or we count you as our enemy"
CCM wameamua kuchakachua Majaji na Mahakimu ili kuepusha aibu zaidi!!! Hakuna Mbunge wa CCM atakaye vuliwa ubunge wake hadi 2015 maana wanajua CHADEMA wanaweza wakachukua kiti hicho. Niliambiwa na rafiki yangu mmoja kwenye CCM kuwa sasa wanaenda na falsafa ya "heri nusu shari kuliko shari...
Tusi lipi hapa? Wassira akienda kwenye hifadhi ya Gombe huko Kigoma atakutana na wakazi wa hapo ambao hawatamshangaa au kumkimbia, lakini akija nyumbani kwangu watoto watajificha na kulia!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.