Search results

  1. poorbillionaire

    Naishauri Serikali isiwatumie ambao sio watumishi kwenye sensa, maeneo mengi wameharibu kazi na hakuna njia ya kuwajibisha

    Kwani we unadhani wanahesabu watu kama nyanya sokoni!?? Ndio maana kuna semina elekezi kabla hawajakabidhiwa majukumu yao.
  2. poorbillionaire

    Sitaki mambo ya uchawi tena...

    Story ya 2017 mpaka leo haijaisha, uvivu tu.
  3. poorbillionaire

    CALL FOR INTERVIEW: Tume ya Madini

    Jamani kwani waliopata kazi tayari wameshaitwa kazini!?
  4. poorbillionaire

    Wizara ya Madini Mbeya huu ni uonevu uliopitiliza

    Mshaanza kazi mliofanikiwa kupata?
  5. poorbillionaire

    Kutafsiri Ndoto

    Utapata au kupokea pesa nyingi mkuu
  6. poorbillionaire

    Natafuta Kiwanja Goba

    Hujapata tu mkuu?
  7. poorbillionaire

    Wizara ya Madini Mbeya huu ni uonevu uliopitiliza

    Dar wameita lini usaili wao!?
  8. poorbillionaire

    CALL FOR INTERVIEW: Tume ya Madini

    Huu uzi mbona umedorora ghafla!?
  9. poorbillionaire

    CALL FOR INTERVIEW: Tume ya Madini

    Jamani Dar na Morogoro wameshaita watu kwa interview!?
  10. poorbillionaire

    Wajue wanawake ambao usipotumia Condom inakula kwako

    Muumini wa kanisa la yule bishop----Condom 3 na lubricant Sent from my GT-I9060I using JamiiForums mobile app
  11. poorbillionaire

    Bosi wa Airbus kulipwa kifuta jasho cha Sh94.3 bilioni kwa kustaafu

    Pesa mingi sana hiyo! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. poorbillionaire

    Mwana FA amkana Baba yake mzazi

    You are the greatest!!! Amani kwako!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  13. poorbillionaire

    Mlimani City kuna nini? Kitu cha laki tano Kariakoo kule kinauzwa Millioni Moja

    Mi napingana vikali na mleta mada, pale Mlimani City ni sehemu nzuri sana ya kufanya shopping kama unahitaji kufanya manunuzi ya vitu vya nyumbani kama sabuni, mafuta, maji ya kunywa(all groceries) Ingia pale Choppies bei ya vitu ni rahisi kuliko hata mitaani kwenye maduka ya Mangi. Lita 5...
Back
Top Bottom