Search results

  1. F

    Masha apewa live; wezi wako ofisini kwako!!!

    mimi sioni tatizo la masha liko wapi, tatizo ni mfumo wote wa utwala, km utendaji wa masha mbaya tuambieni ni utendaji wa kiongozi gani mzuri. pia hao polisi msiwalaumu sana maslahi duni ndo yanayowasukuma huko.
  2. F

    Kabila Langu ni Lipi

    chotara ni mtu aliyechanganya race na sio dini wala kabila. dini/kabila mtu anaweza kubadili wakati wowote. nyie vp.
  3. F

    Kabila Langu ni Lipi

    uchotara unakuja kwa kuchanganya race, mrangi na mchagga wote ni wabantu mtoto anaweza mwenyewe kuamua kabila gani analipenda la baba au mama. kumbuka hapo zamani watu walibadili kabila kutoka moja kwenda jingine. kwa ufupi inasemekana mtemi millambo wa unyamwezi alikuwa mngoni kiasili. wachagga...
  4. F

    Najuta Kuifahamau M-PESA

    tatizo la watz wanafikiri kila kitu kinachoanzishwa na wenye nazo in fashen na kwenda na wakati. unaweza kuangalia hata kwenye kipima joto cha ITV sms ni sh ngapi.
  5. F

    Je kwa hili alaumiwe nani?

    ni upumbafu wa watz wenyewe tunashindwa kuwajibika sisi wenyewe na pia kuwawajibisha wahusika, hakika ktk EAC tutaolewa.pesa zipo, kwani hafla ya jezi ya ronaldo ikulu si ilifana. kwa nini hatuchukui hatua pesa zetu zielekezwe kwenye mambo muhimu km elimu. waacheni walimu wale mahala pao pa kazi.
  6. F

    Mwanamke jela kwa kufanya mapenzi na mtoto

    kwa kweli nashindwa kuelewa hii sheria ya SOSPA ipo kwa ajili ya kukomoa au kurekebisha tabia. au ni wanasheria wanaitafsiri vibaya kuwapendelea wanawake. wanasheria tufafanulieni plz.
  7. F

    Nyumba inapangishwa ipo Mbezi Luisi njia ya Mpiji Magoe

    iwe chumba au nyumba hamna tatizo, ila unapotangaza bidhaa lazima bei iwe wazi, ili mtu ajipime kama ataweza kumanage au la.
  8. F

    Nataka kuhama VODACOM niende mtandao upi ?

    nakushauri uwe na line za mitandao yote walau mitatu. usifikiri watu wanakuwa na line za mitandao 2 na kuendelea kwa ufahari lah ni kwa sababu ya adha kama zilizokupata wewe. lakin kama umedhamiria hasa kuhama vodacom nakushauri uende zain.
  9. F

    Unahisi kumpenda nani hapa JF?

    tutofautishe kupenda na kutamani. Huwezi kumpenda mtu kama hujawahi kuishi nae na kumjua kiundani zaidi. tafadhari simaanishi kumjua kingono.
  10. F

    Ndizi dawa ya Ukimwi!!

    tatizo letu wabantu ni wavivu wa kufikiri. hapa kwetu ukimwi ulianzia kagera na huko ndizi ndo bwerere. na hiyo HIV-2 ilikuja badae lakini awali ilikuwa ni HIV-1 then why watu waliangamia licha ya kula ndizi kwa wingi. Ni hao hao wataalam wanatuambia kuwa HIV wanao tushambulia watu weusi ni...
Back
Top Bottom