Search results

  1. K

    TANZIA Nimefiwa na baba yangu mzazi

    Pole sana kwa msiba
  2. K

    Umati wa watu waliosongamana katika mazishi ya Maalim Seif wakiwa hawajavaa barakoa

    Ila watu hawa wameenda wenyewe, hawajapelekwa na magari, sijaona wanafunzi, hilo ndilo nililowapendea
  3. K

    TANZIA Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye afariki dunia baada ya kupata ajali ya gari Februari 10

    Umeona mbali,taarifa za ajali ya Mbunge hata hazikutolewa, Inawezekana kweli?
  4. K

    Msaada mtoto kaanguka kwenye tiles (Marumaru) naomba kujuzwa huduma ya kwanza

    Kwa hiyo kama amedhurika atapona kwa hicho kilio anacholia mama yake? Kama mnahisi kunatatizo kwa nini msimpeleke hospital kujiridhisha? Yaani lisaa lizima, mtoto kilio na mama kilio.
  5. K

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Umeme umekatika toka jana saa nne maeneo ya mtoni kwa aziz ally, lakini ulirudi saa moja usiku lakini baadhi ya maeneo huku nyuma ya sabasaba haujarudi hadi sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Chemsha bongo kidogo hapa

    25 Sent using Jamii Forums mobile app
  7. K

    Swali: Kwanini wananchi tusichangie michango kwenye shughuli za kimaendeleo?

    Kwani kodi wanazotoa wananchi si kwa ajili ya maendeleo ya nchi?
  8. K

    Kangi Lugola: Diamond hana nidhamu aliwahi kuchelewa jukwaani

    Mambo yake na umri wala haviendani
  9. K

    Mvua, Dar: Watu 9 Wafariki, Mabasi ya mwendokasi yamesitisha huduma

    Bora tu unyamaze maana hujui hata ni nani aliyekuwa waziri wakati huo na ninani sasa hivi. Na kama alikuwa mhandisi au la. Hivi shule inapofanya vibaya mwl mkuu akiwajibishwa anaweza jitetea kuwa sio mimi ninayewafundisha?
  10. K

    Wataalamu wa saikolojia: Nikitania nampiga mke wangu mtoto analia

    Yeye ni binadamu ni roho iliyohai, anahisia, anafurahi, anasikia uchungu pia haya yote hata akiwa tumboni huwa anahisia.
  11. K

    Kihoro kingine chaja, just get prepared!!

    Au ndio hicho cha mh Diwani?
  12. K

    Chamazi Mbagala kuna shida gani kuhusu nyumba?

    Hao ni jenga uza, viwanja vinapatikana kwa bei rahisi na mchanga hukohuko kuna machimbo. Walionafursa wanajenga na kuuza, ni biashara tu.
  13. K

    Ubaguzi dhidi ya watu wa kaskazini kunaweza kugawa nchi vipande viwili.

    Mmmm ndio geography ya siku hizi, Mi nilifundishwa Kagera, Mwanza ni kanda ya Ziwa. Arusha, Kilimanjaro na Tanga ndio mikoa ya Kaskazini.
  14. K

    Wajumbe wa nyumba 10 simamie swala la kodi kulipwa kila mwezi

    Si rahisi kihivyo, hata shule binafsi tuliambiwa zingetolewa ada elekezi na tukapiga makofi na vigelegele lkn kiko wapi? Ada ni zilezile
  15. K

    Serikali isisubiri maafa Mbagala

    Yaaani na hii mvua ya leo, mifereji imeziba, maji yametapakaa barabarani. Wanasogea kukwepa maji wanaziba barabara kabisaa, hakupenyeki. Kuna foleni leo ya kufa mtu.
  16. K

    Polisi FFU Ukonga nimewakosea nini? Nimepigwa mimi,mke wangu na Mama mkwe bila kosa lolote. Nifanyaje kuchukua hatua?

    Mambo wanayofanya hawafikirii kesho. Labda siku zote wataishi makambini na hayo magwanda na kutembea jwa makundi makundi. Lakini kama wanajua ipo siku au nyakati atajichanganya kwa raia pekee yake na kuishi nao haihalishi ni mkoa mwingine au sehemu nyingine yapasa kujitafakari. Dawa ya moto si...
  17. K

    ARUSHA: Kijana aliyeandika kwenye ukurusa wake wa Facebook kuwa Tundu Lissu angeuawa akamatwa na Polisi

    Kukamatwa ni kitu kingine na kuhukumiwa ni jambo lingine. Tusubirie tuone mwisho wake Sent using Jamii Forums mobile app
  18. K

    Maxence Melo: Pole sana Tundu Lissu, Mungu akuponye!

    Mungu wangu, Mungu wa Ibrahim, Mungu wa Eliya, Mungu wa Yakobo, Mungu wa Isaka Mungu wa miungu, Alfa na Omega najua hujawahi kushindwa kitu chochote. Ninakuomba katika jina lipitalo majina yote la YESU KRISTO mponye Tundu Lissu. Amen Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom