Wadau,kwa mujibu wa sheria za kazi za Tz,nini tofauti ya annual leave na unpaid leave?Na je vyote ni sawa?Au je,mwajiri anaweza ku'define' anavyojua yeye au tuseme kutumia maneno haya interchangeably?Je,mtu akiwa ktk annual leave hastahili kupewa mshahara,hadi akimaliza hiyo leave??
Wanajamii naomba kujuzwa nini athari inayoweza kutokea iwapo mkataba uliosaini ktk ajira umeisha,mwajiri hasemi lolote ila anaendelea kutoa majukumu ya kazi tu na analipa mshahara kama kawaida.Je mfanyakazi akitaka kwenda sehemu nyingine ya kazi afanyeje?(Anaaga vipi maana mkataba wa awali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.