Search results

  1. E

    Mume wangu anatoka kimapenzi na mama yangu, nimeona meseji za mapenzi kwenye simu ya mume wangu

    pole sana lakini nani alikwambia ushike simu ya mumeo?
  2. E

    Kikwete apokea Ripoti ya EPA ajiandaa kuhutubia Taifa!

    asilete mchezo mambo yanabadilika kwa kasi atakuja kuipata ajali ya kisiasa kama ya brother wake lo wasa
  3. E

    Ndege ya Lowassa inayopaa, na abiria walioachwa wameduwaa!

    all goes around comes around
  4. E

    Elimu ya Uraia Tanzania

    napenda kusaidia dada juliana maana ameshindwa kuelewa kwamba wale wanaochaguliwa sinkwa faida yao bali ni kwa faida ya jamii nzima ya wale mnaowaita wasomi kama ulininukuu vizuri nilisema kuwa suala la uchaguzi ni jukumu la wadau wote wa ule uchaguzi sio kwamba waliteuliwa waapigiwe kura la...
  5. E

    Elimu ya Uraia Tanzania

    Nashangazwa sana na wasomi hawa wa chuo hiki kikongwe na tunaamini kinatoa wahitimu wengi bora wenye kuiletea sifa kubwa taifa letu nmaanisha chuo kikuu cha Dar es salaam. Katika uchaguzi mkuu pale chuoni kulikuwa na kila aina ya shamlashamla za uchaguzi kama ilivyo kwa chaguzi zingine za...
  6. E

    Kuileta Madrid Bongo ni kituko

    hakuna usahihi katika hili, naamini mheshimiwa rais ameamua kuwaleta real madrid kutokana na mapenzi yake binafsi katika timu hiyo. kwanza alipaswa kuangalia hali nzima ya kiuchumi katika nchi yetu inayokabiliwa hasa kipindi hiki ambacho tumetoka katika janga kubwa la umeme lakini ametumia...
Back
Top Bottom