Search results

  1. N

    Vyuo vikuu kama shule za kata

    Mkuu, Mie nakusupport hundrend percent...hii elimu sijui itatupeleka wapi..mfano mwingine ni pale Mzumbe kampasi ya Dar ...wanachukua wanafunzi wengi ili mradi madarasa yajae...kuna kila aina ya wanafunzi wengine hta hizo degree zao au advance zao hazieleweki ili mradi tu wapate wanafunzi..hamna...
  2. N

    Elections 2010 Nimeshinda kwa kishindo!!!

    Hongera mkuu maana safari hii mambo magumu,sana kaza buti maana uko uendako ni kugumu zaidi...achana na longolongo za wananchi..hiyo ni lazima kwa kila mkusanyiko wa watu
  3. N

    Ukipima DNA ukakuta mtoto si wako utafanyaje?

    Hapo mzee utachemsha utabwaga majanga kwa wangapi?mbona hilo ni jambo la kawaida km wewe bado kua uyaone hayo ndio maisha,mbona hata mababa na mama zetu wanalijua hilo na walikukimezea kwa mengiii....maana hata wewe mwenyewe tafakari kuna familia zingine watoto wanne hawafanani hata...
  4. N

    Mzee Paul Kimiti aaga Rasmi Bungeni kwa mbwembwe

    Hii nimeikubali wazee wote na wabunge ambao wameshaaka zaidi ya vipindi viwili au vitatu na zaidi ingekuwa makini na kupendeza zaidi km wote wangeachia ngazi,km hujaweza kufanya mabadiliko kwa kipindi cha miaka kumi na tano,wewe utakuwa sio mbunge bora bali bora mbunge....eg Malecela,kina Rita...
  5. N

    Elections 2010 Sababu 10 za kutomchagua Kikwete 2010

    12.hailipi kumchagua,watanzania wote tunaonekana wajinga hakuna kinachotekelezeka...na amini usiamini 2010 lazima mademu wataongezeka na ukitaka kuchaguliwa km wewe demu lazima uwe na reception ya kuvutia...Please say No to Jk.Yeye sio msanii ni nyumba ya Sanaa.
  6. N

    Kwa nini siku hizi wanawake wanapenda kuwa single??

    Its true nawasupoort kabisa ukiwa single unakuwa huna pressure kabiga simu au hajapiga,ooh sijui weekend hii atanipigia au nini?na mara nyingi wanaume wa kibongo ukijitangazia ubusy say two weeks in arole lazima atakuwa curious na yeye ndio atakutafuta...mie hiyo naipenda zaidi....kuwa kikazi...
Back
Top Bottom