Search results

  1. K

    Usitumie kigezo cha dini katika kuoa au kuolewa

    Hakuna logic kwenye ndoa
  2. K

    Fahamu mfumo wa ulinzi Israel , njoo nikuoneshe vidaka mabomu

    Hakuna mahala kwenye biblia palipoandikwa WATU WANGU WANAANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA bali imeandikwa WATU WANGU WANAANGAMIZWA KWA KUKOSA MAARIFA. Kwakuwa haupo makini kwenye mambo madogo kama haya,basi hili andiko lako huenda limejaa upotoshaji.
  3. K

    Madhara ya kuzaa nje: Familia inajuta mpaka leo kwa uamuzi walioufanya kwenye urithi wa kaka yao. So sad

    Hapo tatizo sio kuzaa nje ya ndoa,zingatia hili.Tatizo ni maamuzi yaliyofanywa na ndugu na mahakama. Wanaume zaeni kadiri muwezavyo ila weka mipango sawa kabla haujarudi mavumbini.
  4. K

    Cheti cha Ndoa kingetolewa baada ya miaka mitatu ungechukua?

    upo unatoa mahali,unavuta mke maisha yanaendelea
  5. K

    Cheti cha Ndoa kingetolewa baada ya miaka mitatu ungechukua?

    Bado kuna wajinga wanaoa kwa utaratibu wa kupewa cheti?
  6. K

    Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    Aliyetoa mimba kumi ni bora kuliko mwenye mtoto mmoja.
  7. K

    Wakati mwingine, wanaosema "Mungu wabariki Wazungu" wako sahihi

    Waafrika wengi hatujafikia kiwango cha kuitwa binadamu.
  8. K

    Nimeamini wanaume hawaaminiki

    Pamoja mkuu Nasubiri burudani nyingine kwa wkt mwingine panapo majaliwa
  9. K

    Nimeamini wanaume hawaaminiki

    duuu kuna sababu za msingi za kuifuta?
  10. K

    Nimeamini wanaume hawaaminiki

    Mkuu ile simulizi yako ya kufumaniwa siioni,imeyeyuka?
  11. K

    Biblia wanayotumia Wakotoliki na wanayotumia Walutheri pamoja na madhehebu mengine ni tofauti?

    Acha upotoshaji,Kanisa ni moja tu Kanisa Katoliki la mitume.Hayo mengine usiyaite makanisa ni madhehebu
  12. K

    Chaguzi mbili kuu pale unapogundua mkeo anakusaliti

    Usidanganye watu,Yesu hakuamuru kuwasamehe wanawake waasherati,kazi ya kumsamehe mwanamke muasherati ni ya Mungu pekee.Mwanaume kumsamehe mwanamke muasherati na mzinzi ni kuingilia majukumu ya Mungu
  13. K

    Mke wangu hampendi mama yangu mzazi

    Kwenye hili mwenye kuhitaji ushauri ni mvulana,mwanaume anajua cha kufanya.
  14. K

    Kanisa la wasabato ndio pekee linalofata neno Maana halisi ya Mke wa ujana wako. Ndoa zifungwe wote mkiwa wadogo

    kinachonishangaza wasabato ni wapinzani wakubwa wa Wakatoliki. Wanatumia Biblia iliyoakusanywa na kuandaliwa na wakatoliki.
  15. K

    Ni mambo gani huwezi kufanya au kumwambia mama yako mzazi

    Siwezi kumueleza mama kuwa yule mwanamke aliyenitafutia awe mke wangu akiniaminisha kuwa ni mke mwema,namtafutia waganga wamroge hili apotee machoni kwangu.
  16. K

    Kwanini tarehe ya Pasaka hubadilika?

    mwandamo wa mwezi unahusika kwa mahesabu ya Kikatoliki.Wakatoliki ndo wamiliki wa Biblia na sikukuu zote za Yesu.
Back
Top Bottom