Search results

  1. Exorcist

    Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

    Hata mimi sijawahi kuona awamu ambayo mikataba yake inagawa bure rasilimali zote za nchi kwa mikataba zaidi ya 30
  2. Exorcist

    Tanzania yapata Sh trilioni 1 kufadhili programu za kilimo

    Pesa zinaingia mfukoni mwa mtu..., na hatutaona hiyo mifumo ya umwagiliaji
  3. Exorcist

    Nimedokezwa: MOU 30 alizosaini Rais Dubai zikiwekwa hadharani, waTanganyika wote tutalala uchi barabarani

    Y ale maneno ya ‘Mtanikumbuka...’ yanaumiza sana, unaweza ukalia yani 😭😭😭😭
  4. Exorcist

    Mwenye uelewa wa hiki chombo anisaidie

    Kinachofanya hii iwe pikpiki ni nini?
  5. Exorcist

    Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

    Tuseme tunasafiri barabara yenye urefu wa 120km, na kila mtu akatumia lisaa limoja kusafiri huo umbali (120km per every hour (120km/hr)). Tukianza safari saa mbili asubuhi, watafika saa ngapi?
  6. Exorcist

    Hivi ukitoboa dunia katikati, upande mmoja hadi mwingine, ukidondoka unaishia wapi?

    Hakuna juu wala chini, juu kwako ndio chini ya mtu alieupande mwingine
  7. Exorcist

    Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

    Sasa hiyo drag force si imeshasababisha engine kukanyaga mafuta zaidi na kumaintain speed, au?
  8. Exorcist

    Mjadala: Basi kubwa na pikipiki vikitembea vyote kwa 120km/hr nani atatangulia?

    Yaani unasema tunatembea umbali ule ule kwa muda ule ule halafu uniulize nana anawahi? Umechanganyikiwa?
  9. Exorcist

    Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

    https://www.jamiiforums.com/threads/vituko-kutoka-kwenye-makanisa-ya-kilokole-tupia-chako.1877237/
  10. Exorcist

    Bei ya Sukari Imepanda Ghafla, Nini Kisababishi?

    Bandari imeuzwa, unategemea nn
  11. Exorcist

    Dkt. Slaa na wenzie kuitisha mkutano wa wananchi Julai 22

    Hapa unanijibu kama nani?
  12. Exorcist

    Muujiza wa mtume Muhammad wa kupasua mwezi vipande viwili wathibitishwa

    Wakati unaomba source ulikuwa hujui kusoma kujua kama kilichaondikwa kinahusu nini si ndio? 😂😂 mamaee, punguza uoga, sikuuwi bhana..
  13. Exorcist

    Muujiza wa mtume Muhammad wa kupasua mwezi vipande viwili wathibitishwa

    Sasa ulikuwa unadai source kwa lipi? Na ni kipi hicho ulichodai si fact kati ya vile nilivyovisema hadi ukadai source?
  14. Exorcist

    Nabii Bushiri aaibishwa na muigizaji aliyemlipa kutoa ushuhuda wa uongo stejini

    https://www.jamiiforums.com/threads/huu-ni-udhalilishaji-mkubwa-kwa-dini-za-kikristo-clip-kutoka-madhabahu-ya-geordavie.2116963/page-2#post-47105956
Back
Top Bottom