Search results

  1. K

    Taa izimwe isizimwe?

    Taa izimwe, mwulizeni Pearl
  2. K

    Nimepona

    Pearl unataka ujue alifanya nini mpaka akapona, nikwambie au ??? ngoja nirudi naenda kunywa chai
  3. K

    How To Make A Counterfeit Egg, China Style

    nimechoka, natoka kidogo, wachina balaa!!!!!!!!!!!!!!!!
  4. K

    Yahaya Hussein amtabiria rais mwenye jina K....

    Yahya ni mganga wa kienyeji na mchawi, msipende kumsikiliza
  5. K

    Dk Marina Njelekela apewa tuzo ya Martin Luther King

    Kwani MEWATA alikuwa pekeyake au na Dr's wengine, nadhani US Embassy ingesema anawakilisha wana MEWATA wote Joyce Mhavile wa ITV/RADIO One hajapata CCJ Oyeeeeeeeeeeeeeee
  6. K

    Waumini wa Kakobe watimua wahandisi wa Tanesco

    Waumini wa Kakobe wana haki kabisa ya kufanya yote hayo, before hiyo service ilitakiwa kupita left hand side if you come from ubungo, means UDSM side, but UDSM walikataa kabisa wasipitishe ktk eneo lao nadhani UDSM walifanya tafiti zao na kuona ni hatari tupu, Bigup KAKOBE
  7. K

    Rais anapodanganya Umma na kulialia eti Umasikini...

    Nadhani Mkuu alienda bila kujitayarisha au wsaidizi wake walimwandalia hotuba kyk ndege na kuprint walipotua Airport Libya Inashangaza sana serikali ilishindwa kufanya tathmini ya hasara, any way amwombe Gadhafi Vipi ha kwenda na mama Salma.
  8. K

    Love Letter

    No comments namshauri ''Pearl'' ampatie dada yake jamaa yupo seriously
  9. K

    'Dr' Aisha Kigoda

    Suala la Aisha Kigoda kuwa Dr au Kutokuwa Dr, ambaye anaweza kutujulisha zaidi ni Associations ya Watabitu "Chama cha Ma Dr. " They have their ethics and regulations/bylaws as engineers or lawyers
Back
Top Bottom