Search results

  1. keynessian

    Tatizo la Maumivu wakati wa tendo la ndoa

    Mkuu hukupata matibabu bado hadi Leo? Muone Herbalist Mzizimkavu
  2. keynessian

    Nifanye nini kudhibiti Pesa?

    Kuwa muaminifu kwenye utoaji wa zaka Ilo tu
  3. keynessian

    Ziara Bungeni ni kielelezo cha Bunge kuwa too low

    Bunge ni la Watanzania wote
  4. keynessian

    TRA wekeni mfumo wa wazi au App ya kuangalia taarifa za usajili na ulimiki wa Vyombo vya Moto ili kuepusha hizi kadi feki

    Kutoa taarifa za Wateja ovyo ni kinyume cha sheria. Upo utaratibu wa uhakiki wa chombo pale unapotaka kuuza/kununua ama kubadili umiliki kwa sababu yoyote ile. Sheria ya usimamizi wa kodi sura ya 438, kipengele cha 3 Sehemu ya 21 kinaelezea vizuri suala hili.
  5. keynessian

    Zipi ni Hasara za kutumia mashine za EFD kwa mfanyabiashara?

    Elimu inahitajika sana kuwaelewesha wafanyabiara ndogo ndogo kuhusu kodi hii ya VAT ya 18%. 1. Kodi anayelipa ni mlaji wa mwisho, hivo kutokuchukua risiti Manake umemwachia muuzaji hii Pesa. Muuzaji haumii kwa namna yoyote kwenye hii kodi 2. Kuna kitu kinaitwa VAT refund yani tofauti ya input...
  6. keynessian

    Namna ambavyo bila kujua unatumia kipato chako kuwalipa wengine bila ya kujilipa wewe kwanza

    alafu ukimpa scenario kama iyo ya laki mbili ambao ni uhalisia bado anangangania theories zake
  7. keynessian

    Namna ambavyo bila kujua unatumia kipato chako kuwalipa wengine bila ya kujilipa wewe kwanza

    Mbona simple tu, mchanganuo umewekwa hapo, onyesha namna uyo mtu atakavyosave. Kila aina ya matatizo yana suluhu zake, ila nasisitiza ulichoandika hakifanyi kazi kwa makundi yote.
  8. keynessian

    Namna ambavyo bila kujua unatumia kipato chako kuwalipa wengine bila ya kujilipa wewe kwanza

    Mkuu upo sawa kabisa. Nafurahi kwa kuwa umesema umeishi kijijini so unafaham maisha halisi ya mtanzania. Kwa kuwa una uzoefu na maisha nionyeshe mtu mwenye familia ya watu watatu anavyoweza kuishi, kusave na kuinvest kwa kipato cha 200,000(sina uhakika sana lakini naamini kuna wengine...
  9. keynessian

    Namna ambavyo bila kujua unatumia kipato chako kuwalipa wengine bila ya kujilipa wewe kwanza

    Uzi wako una hoja ya msingi lakini uneshindwa kucapture maisha ya wenye kipato cha chini ambacho kinachapatikana hakitoshi hata mahitaji ya msingi, yani inabidi wacompromise hata mahitaji muhimu kabisa Ila waweze kuishi. Mtu Kama uyo unamwambiaje awake 10% za kujilipa?
  10. keynessian

    Sikuwahi kuamini kuna Watu wanakula ‘Bata’ kiasi hiki!

    Jifunze kuheshim starehe za watu mkuu
  11. keynessian

    Sikuwahi kuamini kuna Watu wanakula ‘Bata’ kiasi hiki!

    Bili ya kawaida sana mjini hiyo na inawezekana ni maeneo Ambayo vinywaji vinauzwa bei elekezi. Kingine usizoee Kulishwa /kuleweshwa na mwanaume mwenzako halafu unafurahi umeachiwa na Pesa. Sio dalili nzuri
  12. keynessian

    Nimekua na uraibu wa sauna muda mrefu sana

    Jitahidi upunguze siku za kufanya at least tatu kwa week na usizidishe zaidi ya nusu saa ukienda hii ni kwa mujibu wa ushauri wa wataalam. Binafsi nafanya ivo. Zaidi ya yote kunywa Maji mengi sana na epuka matumizi ya pombe kabla na baada ya session ya sauna
  13. keynessian

    Msaada wa Haraka: Rafiki yangu kagundua Mchumba wake ni Msaliti, kachanganyikiwa hajui la kufanya Mpaka sasa

    Kwani ukisema huyo mtu ndo wewe shida iko wapi? Lakini vitu vingine mbona vipo straight forward kufanya maamuzi. Yeni yeye kashindwa kuchukua hatua na wewe ukashindwa kumshauri ukaona Ulete huku?
  14. keynessian

    Waziri Ummy: Kigezo kikubwa ambacho tutakitumia kuajiri walimu ni wale wanaojitolea. Alalamikia barua feki

    kaka Ajira hazizwezi kutolewa kwa kufanya ubaguzi wa hivo vigezo ulivyoweka, aliyekidhi vigezo vilivyowekwa kwa kiasi kikubwa kuliko wengine anapaswa kupata bila kuangaliaa jinsia yake, dini , hali yake ya kiuchumi n.k.
  15. keynessian

    Ninaogopa kutongoza, nahofia kukataliwa

    Kwenye kutongoza kukataliwa ni sehemu ya matokeo kama ilivyo mpira, huwezi kukubaliwa na wote lakini pia huwezi kukataliwa na wote. cha muhimu jiamini jinsi ulivyo. changamoto kama hizi ni vijana wadogo wa miaka 15-16 ndo wwnapitia tena kipindi icho. Kingine kama unafanya masturbation acha mara...
Back
Top Bottom