Hatuwezi kujijua sisi ni nani mpk kwanza tujue hii dunia imetokea wapi,kuna uhusiano mkubwa kati ya dunia na sisi,nahisi jibu la sisi ni nani analo alieleta hii dunia ambayo na sisi tumo.
Kwa vile tanganyika haina jeshi kias uje na swali hilo,ipo hivi zanzibar ina kila kitu chake siku huu muungano wa magumashi ukiisha hili swali hutokaa uulize tena.
Toka zanzibar ilipovamiwa na tanganyika jan12-64 hadi leo bado tanganyika hawajaweza kuimeza zanzibar,ni bora tu watanganyika mkawaachia wazanzibar na zanzibar yao .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.