Nini hasa chanzo cha kumpiga? Kama kweli ni mwanajeshi basi kazi ipo kwa hao polisi na wataiona dunia chungu sana lakini kama hakuwa mwanajeshi basi kipondo atapata kikali zaidi ya hapo .
Kazi yao ni kula pesa maana majimboni kwao kuna matatizo lukuki lakini hawaendi huko kusikiliza kero. Jakaya awafukuze waende majimboni sio kukaa Dom na Dar bila kazi.
Kwa nini waue hao ng'ombe kikatili hivyo? Ina maana walishindwa kumshitaki mwenye ng'ombe? Ama ni hasira baada ya jamaa kukataa kutoa hongo? Ama kweli hii ni hatari sana.
Wachaga kama wale wa machame wanawake huua wanaume wao ili mali iwabakie. Wachaga wanajua sana pesa hata mtoto mdogo ni balaa hawa watu maana hawana mchezo
Zaidi ya ngombe 176 wameuwawa katika pori la KIMISI na askari wa wanyama pori baada ya mmiliki wa ng'ombe hao alipokataa kutoa hongo na kukubali kulipa faini ndipo baadae askari pori hao walipoamua kuwaua hao ng'ombe baada ya kuwaingiza kwenye shimo.
Hapo wanafunzi ndio wataumia sio wazazi so the District Educational Officer hakutumia njia sahihi maana hiyo ni punishment kwa watoto sio kwa wazazi. He have to change his mind.
Nasikitika sana kwa uamuzi wa huyo afisa elimu maana anakuwa kama sio kiongozi mwenye busara. Kwani hao wanafunzi wana makosa gani? kwa nini asiwaruhusu kusoma kwenye shule hizo zingine kwa mda wakati ukarabati unaendelea? Hapo amewaonea wanafunzi maana hata ukarabati haujulikani ni lini. Wakija...
Mkuu wa mkoa wa Singida asema mkoa huo uko nyuma kielimu kila mwaka jambo ambalo linampa wasiwasi na kudai kuwa sio kwamba mikoa mingine kama Dar es salaam ina waalimu wazuri bali ni kujituma. Hivyo amesema Singida wanaweza wakiweka bidii katika elimu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.