Search results

  1. S

    Kuna nini KCMC?

    Du nilikuwa sijaiona hii. Dr. Mtwangambate, G, mbona tulikubaliana pamoja ulipotaka ushauri akiwepo na Dr. Kileo kuwa tuwasiliane kwanza kabla ya kushusha haya mambo mazito bila uchunguzi wa kutosha? Jamii ina habari kamili yaana umeongea yaliyo ya kweli lakini kuna mengi ya uongo kabisa. Na...
  2. S

    Chama Kipya (CCJ) na Hatima ya CCM - lisemwalo...

    USHAURI KWA CHAMA CHA JAMII (CCJ) HODI: Mniwie radhi, naingia pasi hodi ya hishma maana nimesikia Tabibu yule ajaye anatembelea leo maskani haya. Nimekuwa nasumbuliwa na radhi la kujitakia linalotibika tangu 2007, natamani hata nishike tu upinde wa kanzu ya Tabibu -CCJ. Nimenyanyasika...
Back
Top Bottom