Search results

  1. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo inbox au ni cal 0789643594
  2. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Naomba unipigie mkuu 0789643594
  3. K

    Tetesi: Utabiri 1977: Waalimu wa UPE wanaenda kutengeneza Taifa la wajinga na sasa miaka 50 imepita. Je sisi tuna akili au sisi ni wajinga?

    Mimi naona tatizo sio waalimu .Tatizo ni mfumo wetu wa elimu ni mbovu sana.Hata hao waalimu Bora mnaowataka wangeeda kufundisha nn? Wakafundishe panzi ana miguu mingapi? Wakafundishe miji mikuu? Wakafundishe hesabu za umri?.Tukubali mtaala wetu hauna msaada Kwa watoto.Mtaala wetu unafundisha...
  4. K

    Niambieni sio kweli Udanganyifu kwenye mishahara

    Acha kudanganya haipo hivyo.km hujui kitu ni Bora kunyamaza. Nyongeza huwa kwa wote.Haiangalii mwezi was ajira na pia nyongeza ya serikali ni mwezi wa 7.km itatokea jambo lingine na kuifanya mwezi mwingine basi Hilo ni jipya.
  5. K

    Rwanda kuanza kutumia nguruwe kama mlo mashuleni

    Huyu jamaa atawaua watoto wa watu kwa minyoo aina ya tegu.nguruwe hafai kuliwa hata kidogo hata kwa chakula cha mbwa hafai
  6. K

    SoC03 Mfumo wetu wa elimu ndo kilio chetu

    Hongera umenena.elimu ya Sasa sio yakuondoa ujinga elimu ni maisha elimu ni mtaji elimu ni pesa.sasa mtoto anasoma kwa mamilion ya pesa na hko kapeza muda n ujinga.mitaala zibadilishwe watoto wafundishwe ujuzi wakajiajiri.Hii y Sasa ni upuuzi mtupu.watoto wanaffundishwa mtambuka. Elimu mtambuka...
  7. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wale wa Tanga Moro Au pwani pamoja na Dodoma kujeni Arusha mm niende huko.
  8. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo karatu Arusha mm nije Tanga Moro Au pwani pamoja na Dodoma.
  9. K

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Wale wa Arusha kujeni mm niende Tanga Moro Au pwani pamoja na Dodoma mawasiliano 0789643594
Back
Top Bottom