Search results

  1. T

    Kagame tells Kikwete "I will hit you......"

    Nilishasema mara kadhaa Nduli Kagame Dadaa apigwe na aondolewe madarakani hawezi kutukashifu kila mara ametuchokoza siku nyingi, sasa kuna jambo litatokea.
  2. T

    Kikwete aanguka ghafla Jangwani...! (CLOSED)

    Pili, naye kacheza faulo. Kwasasa nchi inapaswa kuwa chini ya Jaji Mkuu kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Wewe ndio mbumbumbu la kihistoria, kaanze darasa la kwanza kijijini kwenu, Katiba gani unaongelea? ya kupikia maandazi yako hapo chini ya mti unakokunywa kahawa bila...
  3. T

    Kikwete aanguka ghafla Jangwani...! (CLOSED)

    Naomba mambumbumbu wa amani muache kuchochea chuki na hulka ya dharau katika nchi hii iliyojengwa kwa misingi ya heshima na upendo. Ndio maana Dr. Slaa alipodondoka na kuteguka mkono hakuna aliyesema RIP. Badala yake watu wote tulimuombea apone haraka aendelee na kazi za ujenzi wa Taifa. Muwe...
  4. T

    Kikwete aanguka ghafla Jangwani...! (CLOSED)

    Rais alipumzika kidogo na akaendelea na speech. Hali ni nzuri na mambo ni shwari.
  5. T

    Elections 2010 Over 4,000 CCM members defect to CHADEMA

    haha, mnanichekesha sana! nadhani mnafuatilia kwa makini sana vipindi vya ucheshi. Watanzania gani hao mnaodhani ni mazuzu kuweza kuacha almasi yao CCM na kuchukua kipande cha chupa chadema, eti kwa kuwa kinalazimishwa kuonekana kinang'aa kuliko almasi!
  6. T

    Elections 2010 Dr. Slaa akishinda Urais, Kikwete apewe nafasi gani?

    [/I][/U] Naam, kumbe Masonjo unafaa kuwa Dr. pale UDSM, nilitaka kuelezea umeniwahi hasa kwa hiyo point ya kwanza, siongezi kitu!
  7. T

    TBC1 inapotumika vibaya: Nani alaumiwe?

    [/B][/I] Baregu aliye kama kenge? Akiona mvua inanyesha anakimbilia bwawani kujificha? Nani kamsahau alivyosukuma gari ya Mrema 1995 na baadaye akamkashifu? Nitajieni jina la Prof. duniani kigeugeu kama Baregu.
  8. T

    TBC1 inapotumika vibaya: Nani alaumiwe?

    .....Lwaitama hana kumbukumbu ama anarukia mambo tu kama mjinga asiye na elimu, Zitto alifukuzwa Bungeni kwa kusema uongo. Zitto mwenyewe alikiri kuwa Wabunge walikuwa hawajapatiwa mkataba, sasa yeye aliutoa wapi? ......Haya ni mawazo finyu sana kuwahi kutolewa na msomi wa UDSM, yani Lwaitama...
  9. T

    Elections 2010 Mdahalo wa wagombea urais 2010

    Imefika wakati Watanzania tuamke, tujue kusema ukweli na hiyo kweli iwe amali katika tamaduni za jamii zetu. Tuache kufuata mkumbo wa watu wachache ambao ama kwa makusudi au kwa kutokujua wamekuwa wakipotosha ukweli kwa manufaa yao na kutupilia mbali maslahi ya Taifa. Hivi kwa mtu mwenye akili...
  10. T

    Ni kweli ndoa ya Clouds Fm na CCM ishafungwa?

    Clouds ni taswira ya mabogus mengi yaliyojaa nchini yanayojifanya ni mataalamu ya kuset trend ya mwelekeo wa hali ilhali wao wenyewe wako gizani totoro. Hakuna msomi kati yao wale wanapaswa kuelimishwa hata kama hawataki elimu.
  11. T

    Mwitikio wa Wananchi juu ya Hotuba kali ya JK dhidi ya TUCTA

    Coaches are hired to be sacked, govt officials are appointed to sack the appointer.
  12. T

    Hawa wote ni wastaafu? Nini tofauti yao?

    lowassa si mstaafu, alifurushwa na Bunge. Wastaafu ni hao wawili tu.
  13. T

    Jussa, Mbenne wabunge wapya!

    Sihami Tz labda na mimi nitateuliwa siku moja
  14. T

    Hatimaye JK atembelea Bugando hospital

    Ni jambo la msingi sana. Asingeenda wangesema ah, anakaa ikulu watu wake wanaangamia!
  15. T

    Kwanini tuiogope Kenya zaidi ya China?

    Dr Lwaitama aliwahi kusema kwa mujibu wa utafiti Tanzania ina watu wenye fikra makini kuliko nchi zote za Afrika. Nawaomba na nawasihi sana ndugu zangu tujiamini na tutashinda mapambano yoyote yatakayokuja mbele yetu.
  16. T

    Kama hii ni ya kweli tumekwisha

    No research, no right to speak.
  17. T

    Naenda jimboni... Nitawamiss sana

    Umeogopa nini kuchukua fomu ya urais? au vitisho vya yule nanii? na akisema atakayempinga mbunge wa hilo jimbo lako naye atananii je utajitoa kama shibunanii?
  18. T

    Kamati ya Zitto kumweka kitimoto gavana wa BoT

    Zitto anapaswa kuwekwa kitimoto yeye mwenyewe kwanza kwa utumbo aliousema kuhusu dowans nk. hawezi kuwa muamuzi hata wa kukagua nyumba ya katibu kata tukamuamini, ni mganga njaa na juha asiye na dira wala mwelekeo.
  19. T

    Wasiostahili kurudi bungeni 2010

    Jina: Zitto Kabwe Jimbo: Kigoma Sababu: Amedhihirisha udhaifu mkubwa kwenye kutoa maamuzi makini, ni mpiga soga asiye na nidhamu na hafai kuitwa kiongozi kwa tabia yake chafu ya uhuni ikiwa pamoja na kufikia kumvisha mbwa bendera ya CCM kule Tarime na kuchoma moto bendera kadhaa za CCM hukohuko...
  20. T

    Wasiostahili kurudi bungeni 2010

    hahahahahahahaaaaaaa mbavu zangu mie, kweli watu wanathink deeply...
Back
Top Bottom