Search results

  1. futikamba

    Kwanini wanawake wengi wanavuta bangi sikuhizi?

    Hakuna button ya like mkuu... Basi wacha nikulike namna hii. Sio tu jani, ila ni zao la biashara pia. Pesa mingi sana inapotea on black marijuana market wakati ingekuwa legal watu tungepiga ela ndefu sana na serikali ingepata mshiko mrefu tuu. Embu wenye sauti pigeni kelele huko bungeni, najua...
  2. futikamba

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    We umewakosea adabu wanawake wote kwa kauli yako hii "iyo anayomwaga kila mwisho wa mwezi analalamikiaga wapi?" Hivi kumwaga damu ya hedhi na kuumizwa kwa kushambuliwa ni sawa? We kweli mpumbavu!
  3. futikamba

    Natafuta UPS

    Salaam wakuu, Jamani nisaidieni mahali naweza kupta UPS yenye uwezo wa kuhimili hadi Computer 12 & MFP (Multi Functional Printer) kwa matumizi ya bishara.. J2 njema
  4. futikamba

    Lowassa aunguruma Bungeni: "Bora kufanya maamuzi na kulaumiwa, kuliko kutofanya!"

    Maamuzi magumu ya EL ni kuikataa CCM na mambo yake yote. Na hayo yaetimia leo mchana huu napoandika mstari huu, stay tuhed for More Breaking News on our media. Hakuna marefu yasiyo na ncha, na hilo nd'o anguko la ccm....
  5. futikamba

    TANESCO: Rationing is back!

    0715 997688 or 0653 297681. Karibu!!
  6. futikamba

    TANESCO: Rationing is back!

    Vipi watu wangu, hamjambo? Nasikitika kuwajulisha kuwa TANESCO wametangaza mgao wa umeme tena rasmi leo. Utaisha lini??.... mimi na wewe hatujui! Lakini tusiwe na shaka, taa ya ajabu(crankbox) pamoja na moonlight solar zipo kwa ajili yako. Mwanga utapata, mawasiliano utapata, kwa bei nafuu...
  7. futikamba

    Hakika sasa nimeamini alichosema Dr. Slaa kuhusu Kikwete

    Sometimes mtu unatamani ungezaliwa mbuzi uliwe kitoweo tu kuliko kuzaliwa mtanzania. Damn this country!!
  8. futikamba

    Taa Ya Ajabu

    Mteja asante sana kwa kutoa feedback. Ila pia kumbuka tulikupa warranty ya mwaka mzima ili kama hukuridhika na utendaji wake, urudishe na upatiwe nyingine. Kama mwaka haujaisha, unakaribishwa mkuu. Pia hatukatai kwamba zipo baadhi ambazo uwezo wake wa kuwaka si wa saa nzima. Hilo tumeligundua na...
  9. futikamba

    Taa Ya Ajabu

    karibu mkuu...
  10. futikamba

    Taa Ya Ajabu

    HII NDIO TAA YA AJABU!! Haitumii Betri Haitumii Jua Haitumii mafuta ya aina yeyote Unazungusha dk 1 unapata mwanga kwa saa nzima Inachaji simu pia Waranti ya mwaka mmoja Bei ni Tshs: 40,000/= tu! Kwa wale wanaotaka kuwa dealers wetu, bei ni mapatano. Tupo Mbezi Beach - Samaki. Upande wa...
  11. futikamba

    Taa Ya Ajabu

    Asante mkuu, Kama si usumbufu kwako, nilishapost matangazo mengi tu hapa kuhusiana na hii taa ya ajabu. Ebu search utaona. Karibu
  12. futikamba

    Taa Ya Ajabu

    Nimeku-pm mkuu
  13. futikamba

    Taa Ya Ajabu

    Mkuu Kingo, ni ufafanuzi gani unahitaji?
  14. futikamba

    Taa Ya Ajabu

    Inawezekana Faiza. Kama una interest tafadhali tuwasiliane kwa namba niliyotoa hapo juu. Karibu!
  15. futikamba

    Taa Ya Ajabu

    Haha... Hapana mkuu. Inatoa mwanga wa kawaida tu. Karibu!
  16. futikamba

    Taa Ya Ajabu

    Salaam kwenu wakuu. Tunatafuta mawakala (whole/retail sale dealers) popote nchini tufanye biashara ya usambazaji wa taa ya ajabu. Safari hii tumejipanga vyema kuitangaza. Wenye interest tafadhali tuwasilane.. 0715/785 997688.
  17. futikamba

    Namsaka mke wangu,

    lol Engine searching.........
  18. futikamba

    Dirty Secrets

    Zile siri nzito.. Sorry, siwezi kufafanua zaidi. But ni zile ambazo ukisikia unamwangalia m2 mara 2-2 na kujiuliza 'eeeh na huyu anaweza kweli kufanya hivi'?
  19. futikamba

    Dirty Secrets

    Je kama hata anayeelezwa hizo siri, hajui kitu au hajawahi kushtukia chochote? Yaani jamaa anaanza tu kujielezea, hajaulizwa wala nini, imekaaje hiyo?
  20. futikamba

    Dirty Secrets

    Habari ya maandalizi ya x-mas wakubwa? Ikiwa tunaelekea kufunga mwaka, wengi tumepitia mengi ktk mahusiano yaliyotufunza namna ya kustahimili na kumudu hisia mbalix2 kwenye mahusiano. Natumai mwakani kila mmoja wetu amejiwekea malengo na nawaombea wote malengo yenu yatimie sawax2 na mapenzi...
Back
Top Bottom