Search results

  1. NAMTUMBA

    Majibu ya maswali ya Tundu Lissu haya hapa - mwongozo kwa Mabalozi

    Maswali yote jibu moja tu 'Sasa si urudi nyumbani'
  2. NAMTUMBA

    Mtwara corridor imefia wapi?

    Naomba kujua kwa anaefahamu Mradi ule mkubwa wa reli kutoka Mtwara kuelekea nchi jirani kupitia Songea, Njombe nk ulifia wapi? Au umehamishiwa standard geji?
  3. NAMTUMBA

    KOROSHO; bado kipigo kinaendelea kwa wakulima ili waoneshe mashamba.

    Soma mwenyewe uone. Copy & Paste MH MBUNGE WA WILAYA YA NACHINGWEA Wakati uku kwetu maili sita watu wanaiba hata sabuni chooni kutokana na hali ngumu, uko ikungu baadhi ya watu walio lipwa Wana lalamika, kwani mtu amepima kilo 900 kwenye cheti kimoja atalipwa kilo mia 200 na zilizo baki hajui...
  4. NAMTUMBA

    Korosho: Viongozi vyama vya ushirika wanapigwa ili wataje kangomba

    Najaribu kuweka attachment inagoma laikini napambana naweka sasahivi
  5. NAMTUMBA

    Korosho: Viongozi vyama vya ushirika wanapigwa ili wataje kangomba

    Hali ni mbaya. Wakati Malipo ya korosho hakuna kinachoeleweka mpaka sasa viongozi wa vyama vya ushirika wanapigwa ili wataje majina ya Kangomba. Wanakamatwa, wanafungwa kisha wanapigwa na wanapewa vikaratasi ili kila kiongozi analazimishwa aandike majina matano au zaidi ya kangomba.kwasasa sio...
  6. NAMTUMBA

    MSAADA: Hivi mbinguni kuna kuoa na kuolewa?

    Hivi Hanithi atapewa nini? Kama hapa duniani dushe limegoma kuweka gia vipi huko mbinguni akipewa hao 70 atawafanyaje??
  7. NAMTUMBA

    Kuna mambo kadhaa nimeyafatilia kwenye biblia sikubahatika kuyaona

    Natamani ungemwambia huwezi kubariki maji ya Mto kwa sababu ukibariki hapo ulipo yanaondoka yaani mpaka unapokuja kumchovya mbatizwaji yale maji uliyoyabariki yanakuwa yameshaondoka.
  8. NAMTUMBA

    Alfajiri ya furaha kubwa! RIP DR. FUPI

    Tatizo watu hawasomi nakuelewa wanawahi comments kabla ya kuelewa anacho comment.
  9. NAMTUMBA

    Bongo movie vs Zari

    Wakati Bongomovies munapiga dili CCM Zari alikaa kimya akatafakari akaanzisha WHITEPART akapata kuishi. Leo hii Zari amepiga dili nanyie mukae kimya au Muanzishe GREENPART muweze kuishi. Munatakiwa kujua kutesa kwa zamu. Kuna msimu wa maembe na maepo. Msimu wenu wa maembe uliisha sasahivi in...
  10. NAMTUMBA

    Taarifa rasmi: Nimeamua kujivua ukristo ukatoliki na ukristu wote kwa mara ya pili

    Vipi hamu yako ya kutom%$b@ ulifanikiwa kuimaliza??
  11. NAMTUMBA

    Msaada wa kuanzisha Kiwanda

    Naomba msaada wa kitaalamu. Mm ni Mkulima wa Korosho huku Mtwara. Nimeuza shamba langu la Korosho kwa milioni moja na nusu (1,500,000) lengo langu ni kujenga kiwanda cha kubangua korosho ili kuunga mkono juhudi za awamu hii. Nimeona niuze shamba langu nipate mtaji wa kufungua kiwanda maana...
  12. NAMTUMBA

    Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Mwenzie Pengo kala Upupu huko. Kaachana na yale Maharage ya wapi.
  13. NAMTUMBA

    Huu sasa ni Upupu, sio Maharage tena.

    Baada yakula Maharage, awamu hii ameamua kula Upupu.
  14. NAMTUMBA

    Huu sasa ni Upupu sio Maharage tens.

    Baada yakula yale Maharage, Sasa ameamua kula Upupu kabisa.
  15. NAMTUMBA

    Kuna tofauti kati ya foleni na ujinga; Hii ya Tabata Road ni ujinga grade 'A'

    Pawekwe roundabout kubwa kama ile ya kwa kakobe pale Mwenge
  16. NAMTUMBA

    Pesa hizi zitumike kutengenza katiba mpya

    Hizi pesa zilizookotwa Airport zitumike kutengeneza katiba mpya. Walisema hawana pesa lakini Mungu katuona kadondosha zigo la pesa ambazo zinatosha kupata katiba mpyaa na chenji ikabaki. Lile bunge ni wakati wa kurusha live maana pesa zimepatina. Zile 50ml kila kijiji pesa ndo hizo. Hivi...
Back
Top Bottom