Search results

  1. Kifaurongo

    Tetesi: Kimenuka Mtama: Nape akatisha shughuli za Serikali na kuitisha mkutano wa hadhara

    Sijakuelewa. Mleta uzi anasema Arobaini ni Kesho tarehe 26/3/2023 kwa hiyo hiyo tarehe ni namba tu. nisije kuchanganya kumbe uzi umefufuliwa ni wa siku nyingi
  2. Kifaurongo

    Tetesi: Kimenuka Mtama: Nape akatisha shughuli za Serikali na kuitisha mkutano wa hadhara

    Sijaelewa hii habari, mleta uzi hivi Huu tulionao ni mwezi gani? maana habari yako naona Arobaini ni mwezi wa tatu.
  3. Kifaurongo

    Uchaguzi KKKT: Askofu Malasusa achaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa KKKT kuchukua nafasi ya Dkt. Fredrick Shoo

    Askofu Malasusa ametokea wapi tena? Mbona ulitajiwa wagombea ni hawa tu? 1) Askofu Dkt. Benson Bagonza (Karagwe)2) Askofu Dkt. Abednego Kesho (Bukoba)3) Askofu Dkt. Blaston Gavile (Iringa)4) Askofu Dkt. Msafiri Mbilu (Tanga)
  4. Kifaurongo

    Aibu: Polisi yatuhumiwa kudukua simu ya Wakili Mwabukusi na kumuwekea maudhui Instagram ili impe kesi

    Hii ni kudhihirisha kuwa kwenye simu ya Mwabukusi kuna mauudhui ambaye hakutuma kabla na yatumwa sasa. Unless video zinazotumwa muongeaji ni cloned Mwabukusi.
  5. Kifaurongo

    Swali la Wiki: Walidanganya, Walidanganywa, Walijidanganya, Walidanganyana, au Wanadanganya?

    waliokuwa WANASIMAMA majukwaani na kutuhakikishia IMEUZWA, Sasa wamegeuka. Toka jana nimeanza kuwasikia wakiseme wanataka waelezwe UKWELI sababu "WANASIKIA" imeuzwa mara imebinafsishwa mara imekodishwa. Yaani sasa hanajidai hawana uhakika na walichokuwa wakiwaaminisha wananchi ktk mikutano yao.
  6. Kifaurongo

    Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

    Ukisema humjui mwanasheria wa Ujerumani maana yake umeingia kwenye uzi bila kusoma hoja na video za muanzisha uzi😇😇
  7. Kifaurongo

    Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

    Hoja mwanasheria wetu wa ujerumani anatuambia IGA ndio HGA na tumeingia chocho kuaminishwa hivyo. Mikataba yenye usiri ni hatua ya tatu mikataba ya TPA na Mukodishwaji ambayo wambunge wana access nayo wakiihitaji.
  8. Kifaurongo

    Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

    Hakuna huo mkataba HGA humu. Uliosainiwa/unaojadiliwa na uliopo humu ni wa IGA. HGA ni mkataba wa pili unaojadiliwa na utasainiwa baada ya kuidhinishwa kwa IGA.
  9. Kifaurongo

    Maswali kwa Profesa Musa Assad kuhusu mkataba wa Bandari

    Nimemsikia huyu mwanasheria wa Ujerumani. Anasema huu Mkataba tunaoujadili sasa ni wa Host Government Agreement (HGA). Wenzangu mmeuona huo mkataba nimetafuta sijauona. Umeingiwa lini halikuwa mazungumzo ya HGA yalikuwa yakisubiri kuridhiwa kwa IGA?
  10. Kifaurongo

    Kwanini Mungu hakufinyanga mavumbi ya nchi kuumba mwanamke badala yake akachukua nyama toka kwa Adam?

    Swali ni gumu, tuendelee kutafiti. Kwa mahesabu ya uumbaji ktk Biblia uzao wa Adamu ni miaka 7,000 iliyopita hali kuwa leo kuna ugunduzi wa mafuvu yenye zaidi ya umri huo. Inawezekanaje haya?
  11. Kifaurongo

    Watanganyika msihofu bandari zenu zitarudishwa mikononi mwenu na mahakama mkataba uloridhiwa na Bunge ni Void ab initio

    Binafsi nauona usaliti, usaliti uliofanywa na waliofungua kesi na mawakili wanaojidai kuwatetea walalamikaji. Naita usaliti saba kesi hii haikutakiwa kufunguliwa, ilatakiwa nginja nginja hii waachiwe wanahatakati na wanasiasa. Naita wasaliti sababu ikitojea maamuzi ya mahakama ikawapa ushindi...
  12. Kifaurongo

    Mbunge Jesca Kishoa aliyefukuzwa CHADEMA, aibukia mkutano wa CCM na kuhutubia

    Siasa za Tanzania za sasa hicho ni kitu cha kawaida sana. Uliwahi tarajia Mkiti wa CCM wa Taifa anaweza ibukia kwenye Kingamano la Chadema na akahutubia? au Makamu Mwenyekiti wa Chadema Taifa kwenda kuhutubia mkutano wa hadhara wa ACT zanzibar? Ni miujiza ya sasa ya Tanzania mpya.
  13. Kifaurongo

    Picha: Dar es Salaam waonesha uhalisia suala la bandari nchini. Viongozi wajitafakari sana

    Hoja zenyewe kama ndio hizi nani ana haja ya kusikiliza Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chama/Muandaaji wa Mkutano kwa ajili ya kuto elimu ya Mkataba wa Bandari toka mwanzo hadi mwisho sijasikia akisoma au kueleza kifungu kibovu cha mkataba zaidi ya salamu hii kwa watanzania,
  14. Kifaurongo

    TANZIA Jecha Salim Jecha afariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Jeshi Lugalo

    "Umri wa binadamu ni miaka 70..." Mlitaka aishi miaka mingapi?
  15. Kifaurongo

    Wakili Peter Madeleka akamatwa na polisi baada ya Mahakama Kuu kufuta Plea Bargain aliyoingia na DPP

    Mpaka sasa sijaona muandishi anayechambua nini chanzo au sababu ya hii hukumu! Kesi hii imesikilizwa toka lini? Ilihusu kosa gani na aliifungua nani? Nini maana ya maamuzi ya hukumu hiyo? Madeleka alikuwa Mahakamani maana yake alienda mwenyewe akijua ni siku ya hukumu kutolewa, kama mwanasheria...
Back
Top Bottom