Search results

  1. E

    Nina mapenzi ya dhati nae,mapenziii %%%%

    Wapendwa wote, hi. Naomba ushauri.kuna dada nampenda sana kila ninapomuona najiona mdogo na hofu ya ajabu.nataman sana niishi nae, lakini baada ya kumtangazia nia yangu kadai anamtu wake. Wadau nimepeni njia ambazo naweza kuzitumia ili akubaliane na ombi langu. Nipo seriously.
  2. E

    Jinsi ya kumnunulia mpenzi wako zawadi

    toa zawadi kiasi.ni muhimu sana maana ni vichocheo. Kwa lugha ya kiengeleza ni upholding .pia nathani ukizuba eneo hilo utaporwa biblia inasema apandae haba atavuna haba apandaye kwa wingi................
  3. E

    Naomba ushauri, nimwache au niendelee

    Kwanza kabisa nashukuru kwa ushauri.kabla hajaingia kazini alikaa kwangu,nilimuwezesha mchakato wote wa kuingia kazini, na vtu vya kuanzia maisha nilinunua mimi.alikaa miezi 5 kabla hajaingiziwa mshahara mwanaume ilibidi niingie majukumu. Nilishamtambulisha kwa jamaa zangu na marafiki.inaniuma mno.
  4. E

    Naomba ushauri, nimwache au niendelee

    Mchumba wangu hataki niendee kumutembelea kituo chake cha kazi. Kadai kaokoka hivyo anaogopa watu, hususan watawa waliopo maeneo hayo.tumeshawahi kupractice sex for many days.kwa ktumia nguvu nilienda kwake, cha ajabu nilifungiwa mlango mpaka siku natoka, hakuniruhusu hata kidogo kuona jua.yeye...
  5. E

    Loveness Love Diva Binti anayekuja juu

    sio lazima kuuza sura kwa kupendekeza umbeya
  6. E

    Picha za warembo siku ya Valentine

    DU! first lady yuko juu kuliko hao warembo waliojitokeza. nawapenda wote wake kwa waume
  7. E

    Waumini wa Kakobe watimua wahandisi wa Tanesco

    du!kumbe paka akitoka panya hawatawali' hiyo
  8. E

    plzzzzzzzzzzz read

    real your very great thinker,i n most cases women never know to reply no"they agree whatever without consider the effect of it,now my comment is to tell women to self reliance mentally, social, economically as well as politically aka self determinism eg the of Adam and Eve in the holy bible...
  9. E

    Je, ni Sababu ya Msingi?

    pole sana kaka yangu nimeguswa na tatizo la kunyimwa tendo la ndoa na mkeo.miongoni mwa sababu kuu ya kuoa is to conrol sexual desire,pia miongoni mwa mahitaji ya binadam sex is among.now do the following,1.waeleze wazi wazazi wako na wakike wafanye ufumbuzi 2.onesha mapenzi ya hali ya juu sana...
  10. E

    am a new member,let me learn from you

    am still having problem on how to add a status and how to join a particular field,
  11. E

    am a new member,let me learn from you

    hi to you all.i am happy to get connected with you' i will preserve all condition in respect form. i like sharing information
Back
Top Bottom