Search results

  1. majonzi32

    Tamko la Vijana 'WASOMI' wa vyuo vikuu Mkoa wa Dodoma Dhidi ya wabunge wa CHADEMA

    kweli elimu haijawakomboa wanaojiita VIJANA WASOMI WA VYUO VIKUU MKOA WA DODOMA, kwa kutoa maaumuzi kwa kufuata mkumbo kwa woga na hofu, kama uliwachagua wabunge wa chadema amini kuwa wanachofanya ni haki na ni jambo la busara, kwani hawamtambui na naamini waliomchagua pia hawamtambui, huu...
  2. majonzi32

    Elections 2010 Inasemekana Prof Mlambiti kashindwa katika kinyang'anyiro cha UBUNGE

    Morogoro tumewaangusha wapiganaji wa haki wakitanzaia woote, tumeruhusu hali hiii, UCHAKACHUAJI mjini na vijijini........
  3. majonzi32

    Elections 2010 Inasemekana Prof Mlambiti kashindwa katika kinyang'anyiro cha UBUNGE

    kwa ujio wake wa Morogoro mjini, ni kuonyesha kuwa amesini kuwa ameshinda au ameshindwa, na kama ameshinda bac angeweza furahia ushindi, na kama ameshindwa CCM wanashindwa kushangilia ushindi sababu wawechakachua....
  4. majonzi32

    Elections 2010 Inasemekana Prof Mlambiti kashindwa katika kinyang'anyiro cha UBUNGE

    Inasemekana Prof Mlambiti kashindwa katika kinyang'anyiro cha UBUNGE huko jimboni kwake ULANGA......
  5. majonzi32

    Elections 2010 [NOT CONFIRMED]: Prof. Mlambiti (wa Uchumi SUA) naye ashinda Ulanga

    Ni taarifa za kusikitisha, uko morogoro vijijini jimbo la Ulanga hali si shwali, matokeo hayatangazwi hali ya uchakachuaji ndio imetawala, baada ya kuona ivo mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA Mh Prof Mlambiti awasili mjini Morogoro kuungana na familia yake baada ya kukosa tumaini ili hali...
  6. majonzi32

    Elections 2010 [NOT CONFIRMED]: Prof. Mlambiti (wa Uchumi SUA) naye ashinda Ulanga

    Ni taarifa za kusikitisha, huko Morogoro vijijini jimbo la Ulanga hali si shwali, matokeo hayatangazwi hali ya uchakachuaji ndio imetawala. Baada ya kuona hivyo mgombea ubunge kwa tiketi ya CHADEMA Mh Prof Mlambiti awasili mjini Morogoro kuungana na familia yake baada ya kukosa tumaini ili hali...
  7. majonzi32

    Miss Tanzania wa 2010 mhh..

    Mhh!!! kweli jamani kila mtu ana fikra na maono yake na ana uhuru kuwa comment, she was real beautifully girl,
Back
Top Bottom