Search results

  1. mrangi

    Picha: Geti lililojengwa na TANAPA kuingia hifadhi ya Nyerere kwa Tsh. Bilioni 2

    Mbona ndogo wangetumia hata 10b ingependeza kidogo Ova
  2. mrangi

    UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

    Watanzania mtu mwizi,muuza madawa,jambazi kwao huwa ni shujaaaaa mkuu Ova
  3. mrangi

    UTEUZI: Rais Samia Amteua Adam Charles Mihayo kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Biashara Tanzania (TCB)

    Mtalaam wa tehama hapo yupo Wataalam wa kibongo bana Ova
  4. mrangi

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Inaanza H bar za kujazana watu km nziii sizitakagi Kuna siku nlikuwa napiga maji na jamaa yngu mmoja kijiyonyama pale sofun jamaa mwqndishi wa habari maarufu tu jina kapuni Pale ni kama kijiwe chk Mida ya saa sita usiku nkamwambia mbn hapa kna watu kama siwaelewielewi tuondoke,jamaa kagoma Ile...
  5. mrangi

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Ilevpub ilikuwa ya kishnz sana Nlijuwa tu iko siku itaondoka mazima Ova
  6. mrangi

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Kuna bar moja ilikuwa sinza jina kapuni wateja wakiwa wamejaa mmiliki wa bar alikuwa anawaitq watu wa kazi watu wanaputishwa Pesa,mali nk Sema hiyo bar sahv imevunjwa 😄 Ova
  7. mrangi

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Bar za sahv ukienda huwezi hata kuongea mipango Ova
  8. mrangi

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Ben pub bora iliondolewa Watu wamekufa sana pale Kwa kugongwa na magari Watu wamekabwq sana Maana ile Ben pub watoto wahuni wengi kutoka msisiri wanajaa pale Mabaunsa sjui walinzi nao mule walikuwa weziii Hiuu bondia dula mbabe si alikuwa mlinzi pale Ova
  9. mrangi

    Ibrahim Traore, Rais kijana, alovuviwa Roho ya Hayati Magufuli, anayepaswa kuigwa na Vijana wa Tanzania. Burkina Faso sasa inachanua

    Vijana wa kitanzania watoto wa 1990-2000 wao sahvi wanawaza kukata mauno tu Ova
  10. mrangi

    Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

    Duh Ova
  11. mrangi

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    RIP mzee wangu John fedha Aise umenikumbusha mbali sna Sahv bar ukienda ni kama sehemu ya kucheza mziki tu Ova
  12. mrangi

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Humu wanaokupuuzaga na kukidhihaki huwa nawashangaaga sana Ila wajanja na wale wanaojua kungamua mambo ahh tunakusoma na kukielewa sana Alafu genta sahv usiwaamshe waliyolala We waache na ubishi wao tu Ova
  13. mrangi

    Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Mpwaa mitaa yangu ya nyumbani pia siyo mbali na mzee wangu hapo...nmepita hapo naona hapaelewekieleweki Ova
  14. mrangi

    Matajiri wa Tanzania vichekesho vitupu yaani Mbweni Maji ya mvua kila mahali, askofu Dr Gwajima likufikie hili ni Jimbo lako!

    Ovyo tu maeneo yote wanayosemwa wanakaa matajiri Mitaa yangu yote ninayoishi naona kuko vizuri hakuna cha obay wala mbweni wala masaki Ova
  15. mrangi

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Aise hatari sana ilikuwa Ukienda Hugo napo pale walikuwa Na makange fulani safi sana Ova
  16. mrangi

    Baa Sinza zinaendelea kutokomea, Tabata kapokea kijiti kwa fujo

    Sehemu zikijaa mabar pub hapafai,sinza kwenyewe sy sehemu ya kuishi na familia Sahv tabata napo panakuwa kwa ovyo... Sinza bar iliyovuma sana zamani ilikuwa mwika mpwaaa,hapo tumepiga sana ulabu Alafu bar za zamani tofauti na sahv mpwaa zamani bar watu wanakutana wanaongea mioango tu,siku mabar...
Back
Top Bottom