Search results

  1. B

    Kwanini Mawaziri wanatoa takwimu za uongo tathmini miaka 3 ya Rais Samia?

    Tusiwe wanyimi, tungo kumtungia kiongozi wetu wa 2024, huko nyuma tungo nyingi zilisukwa kusema makubwa alofanya kiongozi kwanini 2024 miaka mitatu inakuwa nongwa, kimya tumekuwa .... Uimbo wa Kaizari (‘Song for the Kaiser’)10 Mbaraka bin Shomari (c.1897) (1) Salam kwa wetu bana, Kaisari wa...
  2. B

    Kwanini Mawaziri wanatoa takwimu za uongo tathmini miaka 3 ya Rais Samia?

    Fast Foward 2024 toka mwaka 1915, tusherehekee miaka 3 ya kaisari (kiongozi) Kwa Siku Kuu ya Kaiser Wetu ( “On Our Kaiser’s Birthday”)8 Ramazan Saidi Kiongozi (February 1915) (1) August ni mwanzo, wa kuenezewa vita. In August began the spread of the war Yakatujia mawazo, nyoyo zetu...
  3. B

    Kwanini Mawaziri wanatoa takwimu za uongo tathmini miaka 3 ya Rais Samia?

    Shukrani za Africa ( “Thanks from Africa”)3 Jakobo Ngombo Pwani na Bara (January 1911) Afrika furahi, mshukuru sana Kaisari wee; Rejoice, Africa, be very grateful to Kaiser Baraka na amani kakupa Kaisari yee! Blessing and peace the Kaiser has given to you! Jina lake la sifa na lenyi...
  4. B

    Kwanini Mawaziri wanatoa takwimu za uongo tathmini miaka 3 ya Rais Samia?

    Wa-Shairi tusiwe nyuma tufanye hima kuja na tungo kwa ajili ya siku hii ya kumbukumbu 2024, ni uzalendo kiongozi haji bali kwa mapenzi ya Mungu yaani ukiona mtawala ameukwaa uongozi juwa nyuma yake amekingiwa kifua na Mungu. Tujikumbushe jinsi hali ilivyokuwa enzi za Tanganyika iliyokuwa koloni...
  5. B

    Kwanini Mawaziri wanatoa takwimu za uongo tathmini miaka 3 ya Rais Samia?

    Na watunga mashairi musiwe nyumanyuma nayi mjitokeze kuandika tungo za kusifia utawala wa awamu ya 6 kwa mistari iliyopangika kama shairi hili la zama za Tanganyika ilipokuwa chini ya King George nchi nzima ilisherehekea maadhimisho ya kila mwaka TOKA MAKTABA : Shairi maalum la kumbukumbu ya...
  6. B

    Sugu apata soko la maharage nje ya Nchi, Wakulima kazi kwenu

    CHADEMA inatekeleza agenda ya maendeldo ya watu kwa vitendo na ndiyo maana viongozi wake wanaojua kujiajiri mfano Joseph Mbilinyi Sugu , Meya Boniface, Freeman Mbowe, Mungai, Peter Msigwa na wengine wengi wanafaa kuongoza nchi katika kuanzia udiwani hadi uongozi wa juu nchini ili maendeleo ya...
  7. B

    Uteuzi: Rais Samia Christine Gideon Mwakatobe kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC)

    Christine Gideon Mwakatobe academic background includes a Bachelor's degree in economics from Augustana University in Canada and a Master's degree in Business (MBA) from the Bussiness School of Netherlands.
  8. B

    Ifike mahali Watanzania tuache kukubali hadaa na uzushi unaotolewa na akina Evarist Chahali na Kigogo

    Kila kitu sasa hivi Tanzania ni mali ya rais, ikiwemo gazeti hili la kila siku la serikali. KUTOKA MAKTABA : Mhariri mkuu wa Daily News : The Guardian https://www.theguardian.com › oct Julius Nyerere 17 Oct 1999 — ... Tanzania, he was also editor-in-chief of the state newspaper, the...
  9. B

    Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

    Na kundi hilo ndiyo mtaji mkubwa kwa chama dola kongwe CCM kubakia madarakani
  10. B

    Meli ya misaada kutoka Spain imetia nanga Gaza.Sasa bandari anayojenga Marekani ina haja gani?

    Jamaa anataka mizigo itiwe kwenye matishari kisha ifikishwe pwani kutoka meli zilizoshusha nanga mbali na ufukwe haoni umuhimu wa bandari
  11. B

    Oman Wafanyakazi wa Ndani Toka Afrika Wapitia Magumu

    Trapped in Oman - BBC Africa Eye documentary https://m.youtube.com/watch?v=fJTh4Gdn_B8 Wakipewa ahadi kemkem kuwa ajira za ndani nchini Oman zitabadilisha maisha yao, lakini mara wakifika huko hupokonywa hati zao za kusafiria na mikataba. Baada ya hapo hufanyishwa kazi masaa mengi, kufanyiwa...
  12. B

    Ifike mahali Watanzania tuache kukubali hadaa na uzushi unaotolewa na akina Evarist Chahali na Kigogo

    17 March 2024 Katika mahojiano ya CDF mstaafu, Critical thinker anapitia majibu ya mkuu wa majeshi mstaafu general (rtd) Venance Mabeyo ambayo yameibua mengine ambayo wananchi walifichwa, lakini pia zaidi yameibua mengine ambayo hakujibu https://m.youtube.com/watch?v=I-urvkCKP6M
  13. B

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Nitajaribu kuweka ktk lugha yetu hii adhimu ya KiSwahili ingawa kuna changamoto haina maneno sahihi, nanukuu baadhi " diplomatic maneuvers have ignited a storm of controversy and apprehension profound ... maelstrom is the contentious 1700-word opus, a fusion of article and advisory, shared...
  14. B

    TANESCO watorosha Maji Bwawa la Nyerere, na kuharibu mazao Kwa mafuriko

    Tunapoteza sana maji, utasikia miaka miwili baadaye kuna ukame bonde la Rufiji maji yote yamekwenda baharini. Ilitakiwa kuwepo mpango kuyavuna maji haya kwa kutumia bwawa la pili . Maktaba : 2022 17 November MTO RUAHA MKUU / GREAT RUAHA UKAME WALETA UPUNGUFU WA MAJI TISHIO KWA MRADI WA...
  15. B

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Tukiambiwa kuna umuhimu wa serikali kukazia umahiri kwa waalimu wa somo la lugha ya kigeni ya Kiingereza ngazi ya vidudu, msingi hadi sekondari O na A level ili tuende sawa maeneo mbalimbali ikiwemo diplomasia na masuala mengine mengi ajira, uwekezaji n.k watu wanasema hakuna umuhimu wa lugha ya...
  16. B

    Kwako Mkurugenzi mpya wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART): Katatue changamoto zifuatazo…

    Pia serikali impe uhuru na rasilimali muhimu za aina zote kama fedha, kuajiri watu wapya ili CEO Waziri Kindamba afanye kazi kuleta mambo mapya na utendaji mpya kufuata na uzoefu wa aliyoyaona katika dunia nje ya Tanzania.
  17. B

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Andiko kwa Lugha ya kiingereza limeweka mambo ya ziada mazito na kusomwa na jumuiya pana ya kimataifa.
  18. B

    Barua kwa Rais Samia kuhusu kashfa za Balozi Mteule wa Rwanda nchini Tanzania, Jen. Patrick Nyamvuba

    Andiko la Mussa Lugete kuhusu uwakilishi wa balozi mtarajiwa wa Rwanda nchini Tanzania laenda kimataifa na kunukuliwa katika mtandao tajwa : Controversy Swirls as General Nyamvumba Nominated as Rwanda’s Ambassador to Tanzania. March 16, 2024 By Adonis Byemelwa General Patrick Nyamvumba...
  19. B

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    MKOA wa Ruvuma unaoongoza kwa udumavu Tarehe Ya Kuwekwa: May 16th, 2019 MKOA wa Ruvuma ni miongoni mwa mikoa mitano nchini inayoongoza kwa udumavu. Mkuu wa Wiaya ya Songea ndugu Pololet Mgema ameongoza kikao cha Kamati ya Lishe katika Manispaa ya Songea ambacho kimezungumzia changamoto...
  20. B

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    Ndiyo maana kuna asilimia kubwa ya watanzania wanaudumavu ulioanzia utotoni kwa kujaza matumbo yetu kwa chakula kililichojaa wanga bila virutubisho vingine muhimu kwa makuzi. Taarifa ya Lishe ya Tanzania Kulingana na Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya ya mwaka 2015-2016, takriban theluthi ya...
Back
Top Bottom