Search results

  1. T

    Kuna Uwezekano Sitapiga Kura

    Pele, Ulichokisema ni sahihi kabisa.
  2. T

    Kuna Uwezekano Sitapiga Kura

    Mkuu ushauri mzuri, lakini..........
  3. T

    Kuna Uwezekano Sitapiga Kura

    MwanaHaki Umetoa changamoto nzuri sana.
  4. T

    Kuna Uwezekano Sitapiga Kura

    Ubungoubungo, Post yako ni nzuri na wala usinielewe vibaya kuwa nawashawishi watu wasiende kupiga kura. Najizungumzia mimi mwenyewe. Ila ikitokea DR. SLAA akipitishwa na chama chake kuwa mgombea Urais, msimamo wangu unaweza kubadilika.
  5. T

    Kuna Uwezekano Sitapiga Kura

    Ushauri wako ni mzuri. Lakini haya mambo yasiyofaa tutaendelea nayo mpaka lini? Naomba pia tumsome Tripo9 hapo juu. Pia naomba tujiulize wale watu ambao tunajiita wasomi wa nchi hii kwa nini hatujitokezi waziwazi na kuvisaidia vyama vya upinzani kuwa imara zaidi ili kuleta ushindani thabiti na...
  6. T

    Sukari inafika kilo1 shilingi 2,000/=(elfumbili)!

    Kama ni kwa familia nzima mkuu, sitii neno.
  7. T

    Kuna Uwezekano Sitapiga Kura

    Mkuu matusi ya nini? Bahati mbaya huo ndiyo msimamo wangu.
  8. T

    Kuna Uwezekano Sitapiga Kura

    Wakuu, Kama hali ya mambo itaendelea kuwa mbaya zaidi sitegemei kupiga kura kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu. Pamoja na hali ya mambo kuendelea kuwa mbaya, Jambo pekee ambalo litanishawishi nipige kura ni iwapo tu wahusika halisi wa KAGODA watafikishwa mahakamani kabla ya mwaka huu wa fedha...
  9. T

    Economist Intelligence Unit on Kikwete/Tanzania

    Ni mfalme lazima aendelee hata kama wapiga kura watakuwa laki moja tuu.
  10. T

    Sukari inafika kilo1 shilingi 2,000/=(elfumbili)!

    Kwani unakula kilo nzima ya kuku kwa mlo mmoja tu? Hizo shilingi 10,000 ni pesa nyingi sana usizifanyie mchezo.
  11. T

    Uzinduzi rasmi wa JF Aprili 2010

    Kama ingekuwa kila HIT ni mtu mmoja, kwa mwaka JF inatembelewa na zaidi ya nusu ya wakazi wa bara la Afrika. Kwa upande mwingine ndani ya miaka 12 kuanzia mwaka huu idadi ya HITS itakuwa zaidi ya bilioni 6.48 ambayo ni zaidi ya wakazi wa dunia yetu kwa sasa.
  12. T

    Zitto njia panda

    Popote pale atakapogombea HAWEZI KURUDI BUNGENI. Labda ajifariji kwa kumsindikiza JK kwenye Urais.
  13. T

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Ubarikiwe sana mkuu. Binafsi nahitaji kama ekari 200 kwa ajili ya kupanda miti ya mbao je naweza kupata?
  14. T

    JK na Tume ya Mipango

    Namfahamu Philip Mpango vizuri. Naamini atafanya kazi nzuri. Ni mtu makini na ni mtendaji mzuri.
  15. T

    JK ana mapungufu lakini ana credit katika utawala bora

    Siku wakuu na wahusika halisi wa KAGODA wakifikishwa mahakamani angalau ndiyo tutaona kuwa amedhamiria kupambana na Rushwa.
  16. T

    JK, haya si maisha bora; ni maisha balaa!

    Mnataka ashindwe mara ngapi?????!!!!!!
  17. T

    Mgao kuanza!

    Hakuna umeme wa uhakika nchi hii mpaka pale CCM itakapoondoka madarakani.
  18. T

    Membe kuwania urais 2015...

    Msiumize vichwa vyenu bure. 2015 ni ENL.
  19. T

    Tutafakari Wazo Hili

    Bahati mbaya sana viongozi wetu hawalioni hilo. Tutaendelea kuwa nyuma kila wakati. Kama televisheni zinadaiwa kuwaharibu vijana wetu katika bara letu la Afrika, ni muhimu basi tukazitumia televisheni hizo kuwajenga vijana wetu kimaadili na kielimu. Hivi ni lini mimi na waafrika wenzangu...
  20. T

    Tutafakari Wazo Hili

    Kwa miaka mingi sasa nimekuwa nikiwaza sana ni kwa jinsi gani tunaweza kuliunganisha bara letu la Afrika kwa gharama nafuu kabisa ukilinganisha na faida na kuweza kuwa na fursa ya kuweza kuona na kujua kila siku nini kinafanyika katika nchi zetu. Tunaweza kweli kuungana kisiasa lakini bila ya...
Back
Top Bottom