Search results

  1. Murano

    Account ya Ibraah yafutwa youtube (pigo)

    Kaka Kuna ku-SUSPEND (SUSPENSION) na TERMINATE (TERMINATION). afadhali ya suspension maana yake inakua ni temporary ila TERMINATION maana yake ni permanent hiyo ndo bai bai.
  2. Murano

    Wasafi tv hawana ubunifu, wamesha copy kipindi cha EATV cha FNL

    Kiukweli binafsi nimekiskiliza hiko kipindi, na nimeangalia na youtube, hamna kitu pale. Hivi ideas zimeisha?
  3. Murano

    Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    Mkuu nitafutie Gaming laptop au best rendering laptop kwa bei ndogo, hadi niipate inikost 400,000 pekee. Yani kwa bei hiyo ukijumlisha na tax kila kitu.
  4. Murano

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    😂😂😂
  5. Murano

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Oya aliyekula Hamida kimasihara ajitokeze basi humu ndani kuna mwana anajigalagaza kama kambale huko.
  6. Murano

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Kuna watu humu wala hawajala tunda kimasihara bali wamebaka 😢
  7. Murano

    Huyu ndiye yeye au anadanganya?

    Ila ana reception kali mkuu, yani huyo ukizaa nae watoto wanatoka wazuri kinoma. Hapo chura haina thamani mbele ya sura aisee
  8. Murano

    Yuko wapi mtangazaji Sam Misago?

    Ameacha kazi eatv, so tutarajie lolote popote kuanzia sasa. Za chini ya kapeti zinasema eti jamaa aliomba uongozi wamuongezee salary uongozi ukakataa jamaa akaamua kuchukua hamsini zake.
  9. Murano

    Wazo la kijinga nililolipata leo.

    Mbona barter trade bado inaendelea Dar, hasa kwenye electronics, utakuta mtu anataka mbadilishane laptop na simu ya iphone
  10. Murano

    Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

    Pole mkuu. Kuna uzi humu watu wametiririka mengi kuhusu kuvamiwa na majambazi i hope mods wataihamishia hii kule iwe rahisi kusoma visa vyote vya majambazi
  11. Murano

    Msaada: Whatsapp zangu zimekuwa banned eti sijawa registered

    Wewe hautumii whatsapp Original. Pole
  12. Murano

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Vipi ulitabiri simu za kichina kufungwa? Vipi zilifungwa hazikufungwa? Je, ulitabiri kuzimwa kwa analog kupisha digital? Je analog ilizimwa haikuzimwa? Haya ndo mabadiliko yenyewe sasa hatuwezi kurudi nyuma, hatuwezi kuishi kizamani lazima mfumo ubadilike hata kama tumechelewa kufanya maamuzi.
  13. Murano

    Vipi kama JF nayo ingekua na button ya Followers

    Mbona ipo. Sema JF hakunaga hizo mambo za kufolloana
  14. Murano

    Kuelekea laini za simu zisizosajiliwa kuzimwa; Ushauri wa namna bora ya kufanya ili kutovunja sheria za nchi

    Ukiona NIDA wanakuzungusha na kukupiga chenga ilhali ulishawapa data zako zote ujue uraia wako una ukakasi na kukuambia wanashindwa
  15. Murano

    Ukivaa hii t-shirt, sidhani kama utasalimika ingawa inapendeza na kuvutia miongoni mwa wapenda mabadiliko

    Nashauri watengeneze boxer zenye picha yake na vyupi vyenye picha yake
  16. Murano

    Ukisikiliza habari zinavyoripotiwa Ulaya, Utagundua kwamba hapa bongo wanachokifanya ni kama Umbea tu

    Wenzetu wanazitendea haki 5Ws + H. Sisi story zetu hazibalance kabisa wengi wao hawana hata diploma ya uandishi wa habari. Ndo faida ya kupeana kazi kwa kujuana. Ila vyombo vyetu vya habari vinanichosha kwenye breaking news tu. Utakuta tukio liko dar alafu aljazeera ambao wako middle east huko...
  17. Murano

    Mwenye nyumba yangu hataki nipike kitimoto

    Pole, ana majini huyo, as you know Kitimoto na majini ni Maji na Mafuta havipatani kabisaa
Back
Top Bottom